Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Umewahi kufundishwa na Sembuche? Yule mzee anajua sana hesabu. Ni kichwa!
1689759510353.png

Mwamba huyu hapa
 
Kama jina la chuo linavyosadifu, chuo kilianzishwa kwa jitihada na maono ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kama njia ya kuzalisha wasomi kwenye fani ya kilimo (ukulima na ufugaji) mnamo mwaka 1984 na kupewa jina la aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, ndugu Edward Moringe Sokoine. Ukitaka kupata taarifa zaidi kuhusu SUA, tembelea tovuti rasmi ya chuo (Welcome to Sokoine University of Agriculture (SUA) )
Mmetuharibia sama mimea asilia, hizo changanyachanganya zenu za miti ya matunda zinahari kabisa matunda asilia, siku hizi maembe yanabunguliwa yakiwa machanga kabisa
 
Nashauri wizara ya Elimu iweze kuajiri walimu wa kilimo Tanzania nzima Chuo cha SUA kinatoa walimu wazuri wa kilimo lakini hawana ajira , Ni muda wa serikali kuwaajiri vijana kwa maslahi mapana ya nchi yetu (Agriculture is the backborn of our country)
 
Back
Top Bottom