Sokomoko la zawadi ya gari ya Rais mstaafu Mwinyi

Hivi mtu una watoto wawili ambao ni Marais unategemea kupata vitu vya bure?
Wazanzibar wanapora rasilimali zetu
 
Hasira yenu iko kwenye mechi iliyoahirishwa.
 
Mzee "kibongobongo" baba akienda age vijana wanachukua hatam. Sasa ni zamu ya Hussein kumhudumia mzee wake.
Sawa.

Lakini kwani Hussein ana mahela mengi sana yasiyo na matumizi kwake na familia yake mpaka akwapue hayo mamilioni yote 450 [kama ni kweli] na kumnunulia baba yake benzi?

Au una assume tu kwamba kwa vile Hussein sasa ni Rais wa Zanzibar basi ana unrestricted and unfettered access to Zanzibar’s coffers?
 
Kwani SASHA yeye amemzawadia mzee Mwinyi hilo Benz toka kwenye mfuko gani? Au nae ana mahela anakwapua tu toka sehemu yoyote?
 
Mkuu wasamehe tu!

Huki ni kipindi cha mpito kwao.
Hahahaaa yaani jamaa kakurupuka huko utadhani kafumaniwa na mke wa mtu!

Nimemuwekea ushahidi ulio kinyume na uzushi wake.

Kaishia kula kona mazima!

Hata nyumbu wana akili kushinda hawa ndugu zetu aisee 🤣🤣
 
Hahahaaa yaani jamaa kakurupuka huko utadhani kafumaniwa na mke wa mtu!

Nimemuwekea ushahidi ulio kinyume na uzushi wake.

Kaishia kula kona mazima!

Hata nyumbu wana akili kushinda hawa ndugu zetu aisee [emoji1787][emoji1787]
Imefikia hatua sasa hivi hata Samia akipiga trilioni kadhaa nyumbu watasema sawa tu ili kumkomoa marehemu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una hoja za msingi sn, Mwinyi siyo mtu wa kununuiwa gari leo na wakati anapata kila kitu bure kutoka serikalini
 
Sijui kamzawadia toka kwenye mfuko gani.

Lakini bado hujajibu maswali yangu kuhusu Hussein…
Hussein anawajibika kwa baba yake, hiyo ndio ilikuwa hoja yangu. Anaweza kumnunulia baba yake gari, wala sio ajabu kwa nafasi aliyonayo(japo sijui ana ukwasi kiasi gani).

Hakukuwa na ulazima wa SASHA kumnunulia mzee gari kama zawadi, yeye anatakiwa kufanya kama katiba inavyomtaka, labda kama ni kwa pesa za mfukoni mwake.
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Hawa watu ndiyo maana wamejiwekea kinga za kutoshitakiwa kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
 
Tatizo hapa ni ufinyu wa taarifa!

Aliyemnunulia Mwinyi hilo gari ni Samia au ni serikali?

Wewe umesema ni Samia. Unaposema ni Samia unamaanisha ni Samia kama Samia au ni Samia kwa niaba ya serikali?
 
1. Magari ya staha ya Rais. I should think ni Vieiti.
2. Sidhani kama kabidilishiwa. Hili alilopewa ni lake binafsi Tusisahau kuwa hawakatazwi kujinunulia magari ya ziada au kuchagua analoliteka.
3. Ni kweli hapa optics zaidi. Angepewa kimya kimya hamna ambae angepigia kelele. Hasa baada ya matamko yake ya hivi karibuni.
4. Hili tatizo la kufanya upendeleo ulipitiliza na usioendana na hali ya nchi yetu ni kubwa sana.

Ni kama vile ukishakuwa kibosile kidogo hautaki kusafiri business class, unataka first class wakati kwa wenzetu wenye uwezo kuliko sisi watumishi wanasafiri coach / economy.

Amandla...
 
Tatizo hapa ni ufinyu wa taarifa!

Aliyemnunulia Mwinyi hilo gari ni Samia au ni serikali?

Wewe umesema ni Samia. Unaposema ni Samia unamaanisha ni Samia kama Samia au ni Samia kwa niaba ya serikali?
Serikali ndio imemzawadia.

Amandla...
 
Tumesahau kwamba mwenye nacho ndo uongezewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…