Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unless kama katoa pesa yake mfukoni lakini kama pesa ni ya serikali mama ajitafakari, kwa yale maneo aliyoongea mama lile gari sasahivi ni mali ya ali hassan mwinyi kwahiyo hata akided halirudi serikaliniKwa hili bi mkubwa kachemka.
Ngabu, mimi katika kuwajua wazungu na namna wanavyoendesha mambo yao, wapo strict sana kwenye matumizi ya pesa za umma. Nilishanga kujua kwamba kama rais wa marekani amealika wageni wake binafsi white house, gharama za entertainment ya wageni wake atatumia pesa zake binafsi. Miaka ya karibuni spika wa bunge la australia alilazimika kujiuzulu baada ya kukodi helkopita kwenda kwenye kikao cha chama, ukaibuliwa mjadala kwa nini asitumie gari la ofisi ambalo linagharamiwa na pesa ya walipa kodi kama kweli alihudhuria kikao cha kikazi? kwa hiyo trend ninayoona kwa nchi za kiafrika hususan Tanzania ni kwamba ukishakuwa rais wa nchi au kigogo mkubwa upo entitled kutumia pesa za serikali kadri ya utashi wako au utashi wa wale wanaoidhinisha matumizi ya pesa za umma. Rais mstaafu analipwa pensheni, ulinzi na usafiri. Sioni mantiki serikali kuendelea kutumia pesa za walipa kodi kumpa zawadi za birthday za magari ya gharama huku ikendelea kumlipa pesheni na kugharamia usafiri wake na ulinzi wake....Jana Rais Samia kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mwinyi, alitangaza kuwa katika pia kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu huyo wa zamani aliyetimiza miaka 96, serikali imempatia gari [jipya?] aina ya Mercedes Benz iliyo chini [sedan] kwa sababu aliyokuwa akiitumia [nadhani ni SUV] ilikuwa inampa shida kuipanda na kushuka kutokana na umri wake mkubwa kwa sasa pamoja na kimo chake [hapa nahisi Rais Samia alisema kwa utani].
Tangazo hilo la Rais Samia limezua sokomoko kubwa, hususan mitandaoni.
Mimi sina tatizo na ‘zawadi’ hiyo kwa Rais wetu huyo mstaafu. Kwa maelezo machache aliyoyatoa Rais, sina pingamizi lolote lile.
Ila kuna wengine hawakufurahishwa na jambo hilo. Wamehoji kwamba iweje mtu kama Rais Mwinyi, ambaye katumikia taifa kwa muda mrefu na katika nafasi za juu kabisa, mtu mwenye istihaki nyingi hivyo, ashindwe kujinunulia gari linalomfaa kwa matumizi yake.
Rais Mwinyi keshawahi kuwa waziri. Keshawahi kuwa Rais wa Zanzibar. Na alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Sina hakika kama pia huwa anapata marupurupu ya utumishi wake kama Rais wa Zanzibar au la. Naamini ya urais wa Jamhuri ya Muungano anayapata.
Sasa mimi nina maswali kadhaa:
1. Je, hilo gari alilopewa hivi sasa ni la kwake? Limesajiriwa kwa jina lake? Yeye ndo analilipia bima?
Mimi muda wote huu nimekuwa nikidhani kuwa marais wastaafu huwa wanapewa gari ya matumizi na serikali na kwamba magari hayo huwa ni mali ya serikali.
Yaani, Rais mstaafu huwa anapewa gari, ofisi, watumishi wa ofisi, walinzi, na kadhalika.
2. Kama hivyo ni ndivyo, ni kapewa au wamembadilishia tu gari ya matumizi na siku atayoacha kuitumia itarudishwa ilikotoka?
3. Kama wamembadilishia tu gari, Rais angesema ‘tumembadilishia’ gari la matumizi kuliko kusema ‘tumempa’ gari jipya kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa, ingekuwa ni bora zaidi na isingezua sokomoko?
Tatizo nilionalo hapa ni kuhusu timing, optics, na word choice tu.
Zaidi ya hapo kelele zilizopigwa sizioni kama ni hoja zilizo compelling.
Rais Mwinyi siyo raia wa kawaida. Hawezi kulinganishwa na wazee wengine ambao hawajawahi kuwa marais.
Rais Samia kusema ile majuzi kuwa serikali haina hela za kutosha kuwapa posho wazee, hiyo haina maana serikali haina hela za kuwatunza marais wa zamani.
So this is much ado about nothing.
Go ahead and click that ‘Like’ button if you agree with me. Even if you don’t agree but you appreciate the content, go ahead and smash that button.
Happy Sunday and most importantly, have a very happy Mother’s Day!
Yaan hawa viongozi wanakera sana, ila hawajui tyuuh.Aliye nacho anaongezewa zaidi??
Tuendelee kunywa mtori, nyama zipo chini
Everyday is Saturday............................... [emoji41]
Tatizo la watanzania kuhoji.You nailed it bro. Rais Mwinyi alipopewa nyumba na Hayati Rais Magufuli kulikuwa na kelele?Just curious!!!Nimeeleza siyo zawadi. Ni stahili yake.
Hakuna Serikali ambayo haina wajibu wa matumizi ya pesa za wachangiaji ndio maana kuna bajeti na maelekezo ya matumizi mtu mmoja au wachache haifai wajiamulie matumizi ya pesa ya jamiiakili yangu iko kamili niamini ndo maana niko mbali kiuchumi kisiasa!
hiyo kila ukinunua una changia ni huduma unazopewana sirikali za kawaida za kila siku.
Ni utamaduni wa Dunia nzima. Tangu enzi za Yesu.
Issue sio kama iliyotoka ni ndogo au nyingi issue ni matumizi kama hayafuati utaratibu na kufanya urahisi wa kila kiongozi kujiamulia kutoa pesa utamaduni huu unaweza ukajenga kufuja pesa..., hatukatazi kutoa zawadi hata wewe ukitaka toa chochote ila maamuzi yasiwe yako binafsi alafu utumie pesa za woteHuduma gani za kijamii zimeteteleka ajili ya manunuzi hayo?
Km nchi itateteleka ajili ya kibenz cha mstaaf ife au iuzwe tu.
Pesa za Serikali ndio pesa za wananchi usidhani wanafyatua pesa sehemu, kwavile natua pesa nipate huduma za barabara ulinzi na mahakama zipo ndio nisiseme au kuuliza kuhusu pesa za wananchi ?, Unaongelea Kodi yangu, sio kodi yangu kodi zetu.., Serikali inaendeshwa kwa kodi kama hujui ndio leo nikwambieUna twist language kizamani sana kwani silikali haina hela zake? Una mind kodi yako?? Huo ni ulinzi unaopewa na polisi.mahakama.barabaranzuri hizo! Unazopita unajamba jamba!! Zinatakiwa usafi.ukarabati iliziwepo ndo kikodi chako hicho kinaishia hapo.
Kweli akili yako inahitaji nyongeza, Serikali ina biashara nyingi sana (hizo bishara ni za nani kama sio wananchi kwa ujumla), inavyopata pesa kwenye utalii na maliasili kama sio mali ya wananchi ni ya nani (viongozi ?), Misaada wanatoa misaada kwa niaba ya aliyeomba kama yake au anaomba kwa niaba ya wananchi ?, na unadhani wanapokopa ni nani atakayelipa kama sio wewe mpaka vizazi vijavyo ?Ina biashara nyingi sana km hujui.
Ina misaada ile misaada haiji hivihivi kuna watu wanapitisha kopo kimatonya.Ili ule bado unalindwa na familia yako bure usionewe na wanyarwanda.
Boda boda ililetwa bure au imenunuliwa kutokana na biashara ambayo fedha zetu za kigeni zinatumika, au madini tunayouza n.k., na tunapopewa mikopo nani atalipa ? (na misaada inayokuja na masharti ya kutubana (ni nani analipa kama sio mwananchi) unaweza kumuona mkulima mlima pamba ni mpuuzi ila bila yeye kulima hio pamba au mkulima kulima mahindi unadhani hata huyo Rais angekuwa na cha kukiongoza ? Sio lazima kuwe na made in Tanzania ndio ujue nguvu ya mwananchi unadhani madini yanayouzwa au swala ambao badala ya kuwala tunawaacha ili watalii waje sio sacrifice ?Nyie ni Dunia ya tatu.hamuwezi kuendesha sirikali yenu hata mwezi tu.kwisha.hako kaboda boda kako siyo made in bongo mnapewa cheap price.
Kwanza ndani kwako hapo nambie una miliki nini made in tanzania!!
Labda ungo.mbuzi ya kukunia nazi na kigoda tu.
Mzee ukiangalia kwa mtazamo huo unakosea. Nchi hii nimewapa mfano mdogo tu unaonaendelea hivi sasa wale covid 19 pale mjengoni wanatafuna kwa mwezi zaidi ya milioni 250 isivyo kihalali kwa ujinga tu wa spika na chama chake CCM je hiyo pesa ingeweza kujenga madarasa mangapi? Huu ni mfano tuu wa matumizi mengi ya hovyo nchi hii. Hilo la kupewa zawadi ya Benz ni suala dogo sana lisitupe presha.Tupe majibu Professor ipi inauma matumizi ya benzi ama kuokoa mtu asifungwe!?
Hufahamu maana ya leadership!! Hata muwe na resources nyingi bila right leadership ni sawa na ZERO. If you can't capture this it's unfortunate thenHakujenga pekee yake, yeye anakila kitu wakati waliomsaidia wengi wao hawana kitu. Tuache kuwatukuza hawa viongozi!!! This thinking hautifikishi kokote inaturudisha nyuma sana
Kwani hilo gari kimenunuliwa akapewa AHMwinyi?Ukweli mimi naona hakukuwa na haja ya uyo mzee kupewa hilo gari wala kubadilishwa kwa gari lake na serekali mara baada ya raisi huyohuyo kusema serekali haina hela ya kupandisha mishahara wala kuwaangalia wazee waliotumikia nchi hii (majority verses one soul and there is no special soul! Period!!!). Moja uyo mwinyi ata kumbukumbu hana, kuongea hawezi, kusoma pia hawezi, kusimama hawezi, anahangaishwa wa nini badala ya kuachwa apumzike. Hivi ni lazima kila ghafla aonekane mbona hayo mambo nchi nyengine hatuoni sisi tunafazaa ya nini kuwa raisi mstaafu anatakiwa awepo kwenye kila ghafla. Za kitaifa like nyerere day, union day na Independence Day sawa. Lakini ata kufungua mradi wa maji yupo sijui nini wapo ili iweje?
to be gifted a car, ambazo kenya walipiga made wakatumia pesa kufanya shughuli za maendeleo kulikuwa hakuna uhitaji mana mwinyi ni wa kupumzika na sio wa kutwmbezwa hakuna pale. Bora angepewa ambulance ya kumuwahisha hospice hali ikiwa mbaya. Raisi samia is stupid and so is her cabinet and ile show ya jana Ruhsa na TFF ni blunders tu. Yani this hole month tunaoneshwa udhaifu tu kwenda mbele. May mosi, tarehe 7, kenya, na jana was double impact. Kudos to Yanga kwa kutuonesha msimamo coz bila ya sheria,kanuni na katiba bora tuwe Myanmar tu (tuongozwe na jeshi tujue moja).
But this stupidity has to stop and end once and for all.
La juu haliwezi, wamempa la chini, well and good.Jana Rais Samia kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mwinyi, alitangaza kuwa katika pia kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu huyo wa zamani aliyetimiza miaka 96, serikali imempatia gari [jipya?] aina ya Mercedes Benz iliyo chini [sedan] kwa sababu aliyokuwa akiitumia [nadhani ni SUV] ilikuwa inampa shida kuipanda na kushuka kutokana na umri wake mkubwa kwa sasa pamoja na kimo chake [hapa nahisi Rais Samia alisema kwa utani].
Tangazo hilo la Rais Samia limezua sokomoko kubwa, hususan mitandaoni.
Mimi sina tatizo na ‘zawadi’ hiyo kwa Rais wetu huyo mstaafu. Kwa maelezo machache aliyoyatoa Rais, sina pingamizi lolote lile.
Ila kuna wengine hawakufurahishwa na jambo hilo. Wamehoji kwamba iweje mtu kama Rais Mwinyi, ambaye katumikia taifa kwa muda mrefu na katika nafasi za juu kabisa, mtu mwenye istihaki nyingi hivyo, ashindwe kujinunulia gari linalomfaa kwa matumizi yake.
Rais Mwinyi keshawahi kuwa waziri. Keshawahi kuwa Rais wa Zanzibar. Na alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Sina hakika kama pia huwa anapata marupurupu ya utumishi wake kama Rais wa Zanzibar au la. Naamini ya urais wa Jamhuri ya Muungano anayapata.
Sasa mimi nina maswali kadhaa:
1. Je, hilo gari alilopewa hivi sasa ni la kwake? Limesajiriwa kwa jina lake? Yeye ndo analilipia bima?
Mimi muda wote huu nimekuwa nikidhani kuwa marais wastaafu huwa wanapewa gari ya matumizi na serikali na kwamba magari hayo huwa ni mali ya serikali.
Yaani, Rais mstaafu huwa anapewa gari, ofisi, watumishi wa ofisi, walinzi, na kadhalika.
2. Kama hivyo ni ndivyo, ni kapewa au wamembadilishia tu gari ya matumizi na siku atayoacha kuitumia itarudishwa ilikotoka?
3. Kama wamembadilishia tu gari, Rais angesema ‘tumembadilishia’ gari la matumizi kuliko kusema ‘tumempa’ gari jipya kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa, ingekuwa ni bora zaidi na isingezua sokomoko?
Tatizo nilionalo hapa ni kuhusu timing, optics, na word choice tu.
Zaidi ya hapo kelele zilizopigwa sizioni kama ni hoja zilizo compelling.
Rais Mwinyi siyo raia wa kawaida. Hawezi kulinganishwa na wazee wengine ambao hawajawahi kuwa marais.
Rais Samia kusema ile majuzi kuwa serikali haina hela za kutosha kuwapa posho wazee, hiyo haina maana serikali haina hela za kuwatunza marais wa zamani.
So this is much ado about nothing.
Go ahead and click that ‘Like’ button if you agree with me. Even if you don’t agree but you appreciate the content, go ahead and smash that button.
Happy Sunday and most importantly, have a very happy Mother’s Day!
kujipendekeza ndio imezidi haswa kwa watanzania, yaaani unakuta mtu anajipendekeza kisa anataka madaraka!! huu ni upuuzi mtupu, unacho takiwa ni kujiheshimu na kuheshimu watu wengine.kwa nini nia, uwezo.sababu, wasaa! Wa kugombea uongozi.urais miafrica inaupachika mi jina mibaya km hivi ....
"uchu wa madaraka,.
urafi.
tamaa ya fisi
Kujipendekeza nk.
Km wewe zandrano unavosema wazi???
Kila akigombea mtu mtamzodoa weee!! km hivi!!!
wewe ni kijishetani au! Haijulikani miafrica mnataka nini!!!!
Pesa hamna
Elimu ya mawazo inasumbua.
Kulogana ndo mwake..
Mali hamna
Kupigana miti tuuu nakulibwatiana. ili unyonywe km kupe unaona rahaa!!
Sijui sababu mliuza ndugu zenu km bidhaa bila huruma!! Wakalia na kusaga meno!! Mpaka Muungwana mzungu akaingilia kati.akaikomesha
Dhambi hii inawatafuna.kizazi mpaka kizazi. Mtalogana weee!! Mpaka na hewa mtailoga kengeee
Akili rahisi tu basi ile ya kupendana hamna shetani amewakalia vibaya tena matakoni basi. Na hatoki.
Mtaongozwa na nani km si shetani??
Wenzenu wanatiana moyo wanapendana, kusaidiana lkn miafricaaaaa !!!!yooooo!!! maweeeeee!!!
Leo Jumapili, nasoma Biblia.Binti wa Profesa Yule Simba damu mtaalam wa mifupa anadai Rais kashauriwa vibaya. Kwa maana ya muda wa kuongea na wazee kuwa karibu na kumpa zawadi mzee mwingine.
Achana na hao mambugila wao wanaona gari tuMbona magufuli aliwajengea Nyumba wastaafu lakini hakuna aliehoji kama pesa imetoka wapi
Na mimi nitagombea uraisi,makamu wangu atakuwa Mzee Rungwe Sipunda,safari hii hatutagwa wali bali tutagawa biriani, tena biriani kutoka pale Mchambawima. Kwa marupurupu haya sikubali lazima ngombee uraisi.Jana Rais Samia kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mwinyi, alitangaza kuwa katika pia kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu huyo wa zamani aliyetimiza miaka 96, serikali imempatia gari [jipya?] aina ya Mercedes Benz iliyo chini [sedan] kwa sababu aliyokuwa akiitumia [nadhani ni SUV] ilikuwa inampa shida kuipanda na kushuka kutokana na umri wake mkubwa kwa sasa pamoja na kimo chake [hapa nahisi Rais Samia alisema kwa utani].
Tangazo hilo la Rais Samia limezua sokomoko kubwa, hususan mitandaoni.
Mimi sina tatizo na ‘zawadi’ hiyo kwa Rais wetu huyo mstaafu. Kwa maelezo machache aliyoyatoa Rais, sina pingamizi lolote lile.
Ila kuna wengine hawakufurahishwa na jambo hilo. Wamehoji kwamba iweje mtu kama Rais Mwinyi, ambaye katumikia taifa kwa muda mrefu na katika nafasi za juu kabisa, mtu mwenye istihaki nyingi hivyo, ashindwe kujinunulia gari linalomfaa kwa matumizi yake.
Rais Mwinyi keshawahi kuwa waziri. Keshawahi kuwa Rais wa Zanzibar. Na alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Sina hakika kama pia huwa anapata marupurupu ya utumishi wake kama Rais wa Zanzibar au la. Naamini ya urais wa Jamhuri ya Muungano anayapata.
Sasa mimi nina maswali kadhaa:
1. Je, hilo gari alilopewa hivi sasa ni la kwake? Limesajiriwa kwa jina lake? Yeye ndo analilipia bima?
Mimi muda wote huu nimekuwa nikidhani kuwa marais wastaafu huwa wanapewa gari ya matumizi na serikali na kwamba magari hayo huwa ni mali ya serikali.
Yaani, Rais mstaafu huwa anapewa gari, ofisi, watumishi wa ofisi, walinzi, na kadhalika.
2. Kama hivyo ni ndivyo, ni kapewa au wamembadilishia tu gari ya matumizi na siku atayoacha kuitumia itarudishwa ilikotoka?
3. Kama wamembadilishia tu gari, Rais angesema ‘tumembadilishia’ gari la matumizi kuliko kusema ‘tumempa’ gari jipya kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa, ingekuwa ni bora zaidi na isingezua sokomoko?
Tatizo nilionalo hapa ni kuhusu timing, optics, na word choice tu.
Zaidi ya hapo kelele zilizopigwa sizioni kama ni hoja zilizo compelling.
Rais Mwinyi siyo raia wa kawaida. Hawezi kulinganishwa na wazee wengine ambao hawajawahi kuwa marais.
Rais Samia kusema ile majuzi kuwa serikali haina hela za kutosha kuwapa posho wazee, hiyo haina maana serikali haina hela za kuwatunza marais wa zamani.
So this is much ado about nothing.
Go ahead and click that ‘Like’ button if you agree with me. Even if you don’t agree but you appreciate the content, go ahead and smash that button.
Happy Sunday and most importantly, have a very happy Mother’s Day!
Ndiyo maana kuna baadhi wanatilia sha "New Testament", kwamba ipo kimkakati.Leo Jumapili, nasoma Biblia.
Matayo 25:29
29 Kwa maana kila mtu mwenye kitu ataongezewa, naye atakuwa navyo kwa wingi. Lakini kwa yule asiye na kitu, hata kidogo alicho nacho atanyang’anywa.
Tena sanaHuu ni ujinga mno kuhoji mtu aliyetumikia nchi kupewa kigari cha milioni kadhaa. Huyu mama angeweza kumpa kimya kimya kabisa. Umasikini ni mbaya.
Mimi naona huku ni kudhalilishana kweli. Hawa ni watu walioomba wenyewe hiyo kazi, hawakutufanyia favour kwamba alikuwa mahali tukamuomba aje atusaidie. Huyu aliwatumikia raia wa nchi hiyo kwa utashi wake. Sasa haya ya shukrani zilizopitiliza zinatoka wapi?Ngabu, mimi katika kuwajua wazungu na namna wanavyoendesha mambo yao, wapo strict sana kwenye matumizi ya pesa za umma. Nilishanga kujua kwamba kama rais wa marekani amealika wageni wake binafsi white house, gharama za entertainment ya wageni wake atatumia pesa zake binafsi. Miaka ya karibuni spika wa bunge la australia alilazimika kujiuzulu baada ya kukodi helkopita kwenda kwenye kikao cha chama, ukaibuliwa mjadala kwa nini asitumie gari la ofisi ambalo linagharamiwa na pesa ya walipa kodi kama kweli alihudhuria kikao cha kikazi? kwa hiyo trend ninayoona kwa nchi za kiafrika hususan Tanzania ni kwamba ukishakuwa rais wa nchi au kigogo mkubwa upo entitled kutumia pesa za serikali kadri ya utashi wako au utashi wa wale wanaoidhinisha matumizi ya pesa za umma. Rais mstaafu analipwa pensheni, ulinzi na usafiri. Sioni mantiki serikali kuendelea kutumia pesa za walipa kodi kumpa zawadi za birthday za magari ya gharama huku ikendelea kumlipa pesheni na kugharamia usafiri wake na ulinzi wake....