Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisa
Wewe ni Kubwa nyinga. Pole sana. Nani akupe urais?Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisaView attachment 3325571
Unalingine umesahauWewe ni Kubwa nyinga. Pole sana. Nani akupe urais?
Unalingine umesahauMkuu Unatumia kilevi gani?
Source ya material ni mimiNisaidie source ya material unapotoa hizi taarifa
Itakuwa gongoMkuu Unatumia kilevi gani?
Ilikuwaje ukajua yote hayo?Source ya material ni mimi
Nne?? Tisa?????Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisaView attachment 3325571
Hiyo ni nadharia ya uongo ambayo sio sahii solar system ina sayari nne tuNne?? Tisa?????
Solar system ina sayari nane kwa namna ambavyo wanasayansi wamezipa sifa sayari.
Sayari hizo nane zinaweka kuwekwa kwenye makundi mawili ya sayari nne kila moja.
Terrestrial planets na Jovian planets (a.k.a gas giants).
Mkiwa shule muwe mnasikiliza kwa umakini, itawaepusha na hao matapeli viazi wa mitandaoni wanaotafuta engagement kwa kuongea outrageous horseshit.
NB. Pluto siyo sayari tena.
Changamoto yako akili zako zimefungwa na wazunguSayari ni nane.
Suala la asteroid belt kuwa buffer zone lilishathibitishwa kuwa ni uongo. Vifaa vya anga vimepita kule bila matatizo yeyote.
Jupiter, Uranus na Neptune ziwe activated? Ni mitambo hiyo?
Tushawishi mkuu.Changamoto yako akili zako zimefungwa na wazungu
Hilo swali lako ni gumu na pia ni rahisi ila ntakujibu kwa jibu rahis na wakati nakujibu ntaku-quoteIlikuwaje ukajua yote hayo?
Solar inatoa solar energy ambayo ni mwanga wa juaKuna sehemu umesema solar energy. Hiyo solar energy kweli inaweza kuwa na sayari nne.
Ulishawahi jiulizaga kwanini neptune, uranus na Pluto zina barafu tu mda wote naomba nijibu ili iwe rahisi kukueleweshaTushawishi mkuu.
Itakuwa anatumia pombe maviMkuu Unatumia kilevi gani?
mkuu wewe umefanya tafiti zipi -- weka tafiti mezani -- isije ikawa kama mambo ya flat earthers wao tafiti hawataki kusikia kabisaHiyo ni nadharia ya uongo ambayo sio sahii solar system ina sayari nne tu