halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 628
- 1,677
Na wewe toka ukaririshwe zipo 9 basi hujasoma tena na huenda unamsaidiaga mwanao homework 🤣🤣🤣🤣 waliokukaririsha zipo 9 haohao wamesema kwasasa ni 8 tuNne?? Tisa?????
Solar system ina sayari nane kwa namna ambavyo wanasayansi wamezipa sifa sayari.
Sayari hizo nane zinaweka kuwekwa kwenye makundi mawili ya sayari nne kila moja.
Terrestrial planets na Jovian planets (a.k.a gas giants).
Mkiwa shule muwe mnasikiliza kwa umakini, itawaepusha na hao matapeli viazi wa mitandaoni wanaotafuta engagement kwa kuongea outrageous horseshit.
NB. Pluto siyo sayari tena.
. Hiyo ya pluto haipo tena.