Solar system ina sayari nne tu kuanzia leo ni vizuri ukalijua hilo

Solar system ina sayari nne tu kuanzia leo ni vizuri ukalijua hilo

mkuu wewe umefanya tafiti zipi -- weka tafiti mezani -- isije ikawa kama mambo ya flat earthers wao tafiti hawataki kusikia kabisa
Ukiwa mtu wa maswali fikirishi dhidi ya ubongo wako ni rahisi kujua mambo mengi
 
Nikiwa Rais

How to Stop Irrational Thoughts​

Irrational thoughts are distorted ways of thinking that prevent you from seeing things realistically.

Serikali iwekeze ata kununua telescope, people are getting delusional 🤐🤐
 
Ukiwa mtu wa maswali fikirishi dhidi ya ubongo wako ni rahisi kujua mambo mengi
mkuu nilitarajia jibu kama hili ndiyo maana nikaweka na mfano wa flat earthers

nawewe umepita mulemule tu.

ni kweli maswali fikirishi huanzisha wazo

ila hii kama field ya sayansi mnaokuja kupinga tafiti za watu -- mkija na maneno matupu inakua dhihaka kwa sayansi mkuu.

hata wale flat earthers ukiwatajia neno tafiti wanakua wakali kwelikweli

cc hateeb10 karibu mjadala mkuu
 
Nikikumbushe jambo lolote linaanzia kama fikra ndo watu wanafanyia tafiti
Galileo ndo mtu wa kwanza kusema dunia ni duara ila aliuliwa ila cha ajabu watu walifanyia kazi wazo lake

Uvumbuzi wowote unaanzia kwenye wazo ambayo kwa lugha nyingine ni hypothesis na baada ya hapo ndo zinakuja equation, au formula za kulitekeleza
 
Temperature of the core of Jupiter is 24,000 degrees Celsius.
Melting Point of the stubbornest metal on Earth,tungsten is 3,422 degrees Celsius.
Kwa hiyo Jupiter is cooling down and later will become firm.
 
How to Stop Irrational Thoughts​

Irrational thoughts are distorted ways of thinking that prevent you from seeing things realistically.

Hizo ni chache bado ziko nyingi sana zinakuja ndo kwanza ni introduction
 
Nikikumbushe jambo lolote linaanzia kama fikra ndo watu wanafanyia tafiti
Galileo ndo mtu wa kwanza kusema dunia ni duara ila aliuliwa ila cha ajabu watu walifanyia kazi wazo lake

Uvumbuzi wowote unaanzia kwenye wazo ambayo kwa lugha nyingine ni hypothesis na baada ya hapo ndo zinakuja equation, au formula za kulitekeleza
mimi kwenye science nipo open sana mkuu-- hili unalolisema sawa

ila swali title ya mada husika inakua ipo kwenye hypothesis au ushahitimisha?
 
Mfano miaka ya 1960 ilikuja hypothesis kwamba alzheimer ni ugonjwa unaosababishwa na build-up of amyloid-beta protein (Aβ) in the brain is a primary driver of the disease's progression.

Watu mpaka leo wanaifanyia kazi na bado hakuna dawa ya kutibu alzheimers
 
Back
Top Bottom