MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Una tatizo kubwa la akili. Cha muhimu kahakiki taarifa zako kwenye daftari la kujiandikisha kupiga kura. Mama Samia anahitaji kura yako.
Tema nyongo zote kabla hujaenda kulalaUna tatizo kubwa la akili. Cha muhimu kahakiki taarifa zako kwenye daftari la kujiandikisha kupiga kura. Mama Samia anahitaji kura yako.
Jikite kwenye main messageNilifikiri hii video umeitoa mahali kumbe ni wewe? Bahati nzuri nimekusikia ukisema solar energy badala ya solar system 🤣🤣
Jupite ni bibi yako?Jikite kwenye main message
RubbishNikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisaView attachment 3325571
Ukimaliza kuongea pumba usisahau kukojoa kabla ya kulalaJupite ni bibi yako?
Wewe tukikuwahi unapona 😁Ukimaliza kuongea pumba usisahau kukojoa kabla ya kulala
Mimi sio mtumwa wa wazungu au NASA am free man unatakiwa ulifahamu hiloRubbish
Umetumia kipimo gani kuzitambua kama siyo wataalam waliotuma vyombo kwenda kustudy hizo sayari
Wewe tema nyongo zote usisahauWewe tukikuwahi unapona 😁
Weka vitabu ulivyoandika baada ya kufanya utafiti wako na vifaa ulivyopeleka anga za mbali kwenda kutafitiMimi sio mtumwa wa wazungu au NASA am free man unatakiwa ulifahamu hilo
Tafuta sehemu yeyote kama kuna sehemu NASA wamesema solar system ina sayari nne
mi kama tafiti zinahusika sina neno mkuuMfano miaka ya 1960 ilikuja hypothesis kwamba alzheimer ni ugonjwa unaosababishwa na build-up of amyloid-beta protein (Aβ) in the brain is a primary driver of the disease's progression.
Watu mpaka leo wanaifanyia kazi na bado hakuna dawa ya kutibu alzheimers
Kwenye science huanzi na kitabu bali hypothesisWeka vitabu ulivyoandika baada ya kufanya utafiti wako na vifaa ulivyopeleka anga za mbali kwenda kutafiti
Solar energy ina Sayari nne tu 🤣🤣🤣🤣 Bro unachanganyikiwaNikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisaView attachment 3325571
Niko sahii kabisaSolar energy ina Sayari nne tu 🤣🤣🤣🤣 Bro unachanganyikiwa
Ungemuuliza Yuko bia ya ngapi😸😸😸Mkuu Unatumia kilevi gani?