Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
Ukiwa mtu wa maswali fikirishi dhidi ya ubongo wako ni rahisi kujua mambo mengimkuu wewe umefanya tafiti zipi -- weka tafiti mezani -- isije ikawa kama mambo ya flat earthers wao tafiti hawataki kusikia kabisa
Nikiwa Rais
mkuu nilitarajia jibu kama hili ndiyo maana nikaweka na mfano wa flat earthersUkiwa mtu wa maswali fikirishi dhidi ya ubongo wako ni rahisi kujua mambo mengi
Nikikumbushe jambo lolote linaanzia kama fikra ndo watu wanafanyia tafitimkuu nilitarajia jibu kama hili ndiyo maana nikaweka na mfano wa flat earthers
nawewe umepita mulemule tu.
ni kweli maswali fikirishi huanzisha wazo
ila hii kama field ya sayansi mnaokuja kupinga tafiti za watu -- mkija na maneno matupu inakua dhihaka kwa sayansi mkuu.
hata wale flat earthers ukiwatajia neno tafiti wanakua wakali kwelikweli
cc hateeb10 karibu mjadala mkuu
Sio kosa lako ni fikra zakoSerikali iwekeze ata kununua telescope, people are getting delusional 🤐🤐
Hizo ni chache bado ziko nyingi sana zinakuja ndo kwanza ni introductionHow to Stop Irrational Thoughts
Irrational thoughts are distorted ways of thinking that prevent you from seeing things realistically.
How to Stop Irrational Thoughts
Irrational thoughts are difficult to deal with, especially if they are a result of a mental health disorder. Learn about how to overcome these distorted thoughts.www.verywellmind.com
Solar system ina sayari nne tu kuanzia leo ni vizuri ukalijua hilo
Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisawww.jamiiforums.com
Moja ya mambo nitakayoyafanya nikiwa Rais nikuhakikisha dawa za magonjwa mbalimbali zinatengezewa hapa Tanzania from scratch
Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;- Method of predict normal protein mutation...www.jamiiforums.com
Nikiwa Rais ntaanzaisha mradi wa kuactivate nyota ambazo haziko active (blackholes)
Moja ya mambo ambayo ntafanya ni kuactivate nyota ambazo hazipo active ambazo kitaalamu zinaitwa blackholeswww.jamiiforums.com
Nikiwa Rais artificial ozone layer zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzana na kwenda kupandwa sayari nyingine
Artificial ozone layer itakuwa inatengenezwa hapa Tanzania na kwenda kupandwa nje ya nchiwww.jamiiforums.com
Huduma ya dialysis kuwa bure
Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha huduma ya dialysis inakua bure Mfano mashine moja ya dialysis ni sh 200,000,000 haya ni makadirio 200,000,000 × 184= 36,000,000,000 (184 ni jumla ya wilaya zote zilizopo Tanzania) ukizidisha mara mbili ni sh billion 72,000,000,000 kila...www.jamiiforums.com
Changamoto yako akili zako zimefungwa na wazungu
Hapana hai-cooling downTemperature of the core of Jupiter is 24,000 degrees Celsius.
Melting Point of the stubbornest metal on Earth,tungsten is 3,422 degrees Celsius.
Kwa hiyo Jupiter is cooling down and later will become firm.
mimi kwenye science nipo open sana mkuu-- hili unalolisema sawaNikikumbushe jambo lolote linaanzia kama fikra ndo watu wanafanyia tafiti
Galileo ndo mtu wa kwanza kusema dunia ni duara ila aliuliwa ila cha ajabu watu walifanyia kazi wazo lake
Uvumbuzi wowote unaanzia kwenye wazo ambayo kwa lugha nyingine ni hypothesis na baada ya hapo ndo zinakuja equation, au formula za kulitekeleza
Uwezo kujua kwa kufikiria tu, umejaribu wapi Yako wapiajaribio yakoUkiwa mtu wa maswali fikirishi dhidi ya ubongo wako ni rahisi kujua mambo mengi
Sijapata kutoka kwa mtuWewe hayo maarifa umepata kwa nani
Ile ni hypothesismimi kwenye science nipo open sana mkuu-- hili unalolisema sawa
ila swali title ya mada husika inakua ipo kwenye hypothesis au ushahitimisha?
Idea zako tunathibitishajeSijapata kutoka kwa mtu
penda kukaa mwenyewe sehemu yenye utulivu kwa mda mrefu utakuja na idea nyingi
sawaIle ni hypothesis
Huyu sio kisandu kweli?Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisaView attachment 3325571
Mfano miaka ya 1960 ilikuja hypothesis kwamba alzheimer ni ugonjwa unaosababishwa na build-up of amyloid-beta protein (Aβ) in the brain is a primary driver of the disease's progression.sawa