halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 628
- 1,677
Na wewe toka ukaririshwe zipo 9 basi hujasoma tena na huenda unamsaidiaga mwanao homework 🤣🤣🤣🤣 waliokukaririsha zipo 9 haohao wamesema kwasasa ni 8 tuNne?? Tisa?????
Solar system ina sayari nane kwa namna ambavyo wanasayansi wamezipa sifa sayari.
Sayari hizo nane zinaweka kuwekwa kwenye makundi mawili ya sayari nne kila moja.
Terrestrial planets na Jovian planets (a.k.a gas giants).
Mkiwa shule muwe mnasikiliza kwa umakini, itawaepusha na hao matapeli viazi wa mitandaoni wanaotafuta engagement kwa kuongea outrageous horseshit.
NB. Pluto siyo sayari tena.
Hili swali kaniuliza fala mmoja leo usiku huu anaendesha baiskeli gizani na hajawasha taa nusura kidogo anigonge halafu kabeba mabati chakavu mshenzi yuleMkuu Unatumia kilevi gani?
Tuliza kiwewe, wapi nimesema zipo tisa?Na wewe toka ukaririshwe zipo 9 basi hujasoma tena na huenda unamsaidiaga mwanao homework 🤣🤣🤣🤣 waliokukaririsha zipo 9 haohao wamesema kwasasa ni 8 tu
. Hiyo ya pluto haipo tena.
Hiyo inatosha kabisa kukupa urais mkuu, kachukue form. Nyie ndo marais tunaowataka. Ila unasound kama Don mmoja hivi maarufu JF aliitwa Deo kisanduNikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisaView attachment 3325571
Nishati ya jua inayofika kule ni kidogoUlishawahi jiulizaga kwanini neptune, uranus na Pluto zina barafu tu mda wote naomba nijibu ili iwe rahisi kukuelewesha
Muda si mrefu atakuwa chizi huyuWewe ni Kubwa nyinga. Pole sana. Nani akupe urais?
Kwani Madee nani kampa uraisi?.Wewe ni Kubwa nyinga. Pole sana. Nani akupe urais?
Huyu inaonekana kama ndugu yake Deo Kisandu au rafiki yake....Mkuu Unatumia kilevi gani?
Kwa hao hao anaobishana nao.Wewe hayo maarifa umepata kwa nani
Uko mbali sana kifikraKwani Madee nani kama uraisi?.
Uwezo fichavukweliUko mbali sana kifikra
Acha uongo solar ni jua ni nyota tu na ziko nyota nyingi kubwa na ndogo zaidi ya jua solar system ni mfumo wa juaSolar System ina mabilioni ya sayari na hizo tisa au nne unazozipigia debe ni zile ulizozifahamu wewe! Na kuna system nyingi nje ya solar system. Yaani Ulimwengu (The Universe) ni mpana kuliko uelewa wa kibinadamu. Ulimwengu una Galaxies nyingi na Solar system inapatikana ndani ya Milk Way Galaxy ambayo nayo ni pamna kuliko maelezo!
son ar you foe real?Solar System ina mabilioni ya sayari na hizo tisa au nne unazozipigia debe ni zile ulizozifahamu wewe! Na kuna system nyingi nje ya solar system. Yaani Ulimwengu (The Universe) ni mpana kuliko uelewa wa kibinadamu. Ulimwengu una Galaxies nyingi na Solar system inapatikana ndani ya Milk Way Galaxy ambayo nayo ni pamna kuliko maelezo!