Hivi inajua
Kwa wote wanaotaka kushiriki shindano la Stories of Change Tafadhali someni kwa makini vigezo hivi. Hakikisha andiko lako limekidhi kabla ya kutaka kuchapisha.
Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:
- Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
- Andiko liwe kwa Kiswahili lenye maneno yasiyopungua 800 na yasiyozidi 1000.
- Makala zinatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Plagiarism (Wizi wa machapisho mengine) haitaruhusiwa.
- Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi (jina) endapo ataibuka mshindi.
- Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
- Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.
jwamba

Hivi umewahi kijiuliza ni kwa nini biashara nyingi hufa mara baada ya mbeba maono wa biashara hiyo (mume au mke) kufariki?
Moja ya sababu kuu ni kutokuandaa mtu wa kupokea kijiti (successor). Yaani unakuta mtu ameanzisha biashara yake na kuiatamia mwanzo mwisho bila kujua maisha ya mwanadamu ni kama maua....
Iko hivi, kwa ustawi mzuri na himilivu wa biashara yako wewe baba mshirikishe mke wako na wewe mama mume wako mwanzo mwisho.
Usiishie kumshikisha tu bali mfundishe namna ya kusimamia hiyo biashara. Ajue namna ya kupata faida na hata madeni yaliyopo.
Kuna watu wakikatika ghafla pesa nyingi za biashara hupotea kwa sababu ya usiri wa biashara.
Kwa wote wanaotaka kushiriki shindano la Stories of Change Tafadhali someni kwa makini vigezo hivi. Hakikisha andiko lako limekidhi kabla ya kutaka kuchapisha.
Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:
- Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
- Andiko liwe kwa Kiswahili lenye maneno yasiyopungua 800 na yasiyozidi 1000.
- Makala zinatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Plagiarism (Wizi wa machapisho mengine) haitaruhusiwa.
- Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi (jina) endapo ataibuka mshindi.
- Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
- Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.
Hivi umewahi kijiuliza ni kwa nini biashara nyingi hufa mara baada ya mbeba maono wa biashara hiyo kupoteza maisha?
Moja ya sababu kuu ni kutokuandaa mtu wa kupokea kijiti (successor). Tafiti zinaonyesha kuwa biashara zilizodumu kwa miongo kadhaa au hata karne nzima ni zile zilizowekewa mifumo madhubuti ya successors.
Wafanyabiashara wengi wamekuwa ni wasiri sana kufikia hatua ya kupoteza mali na fedha nyingi pale wanapofariki kwani madeni (credits) yanakuwa hayajulikani. Kibaya zaidi na biashara yenyewe hufa kwa kukosa wajuzi wenye ufanisi wa kuiendesha.
Raha ya biashara ni kuendelea kuishi hata kama mwanzilishi hayupo. Na hii ndiyo maana ya kuwaandalia maisha mazuri watoto wetu.
Ni vema sana kwa mume/mke kumshirikisha mwenza wake katika biashara. Unaweza kwenda mbali zaidi kwa kumfundisha namna ya kusimamia biashara na kutengeneza faida n.k
Pitia uzi wangu kwenye
SoC 2022 - Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri uone namna nilivyojitahidi kumpa mamlaka mke wangu katika biashara mpaka tukafuzu.
Unaweza kutoa maoni yako au ushauri nami nitapokea kwa mikono miwili. Ninaomba kura yako pia.