Soma Hapa Ujumbe Mzito Na wa Kizalendo Kutoka Kwa Jeshi La Polisi

Kuleni hela za DP world ila msithubutu kuumiza raia kesho, maandamano yatakuwa kila jumatatu mpaka mtanyoosha mikono.
Bado ni nguvu ya soda tu.
Tunahitaji dhamira ya dhati kujikomboa, sio kwa matamko tu na kulambishwa asali.
 
Wenzenu wa Kenya, wapo HaITI, wanalinda Amani, na kuleta
Wenzenu akili kubwa, Kenya wapo HAITI, wanalinda Amani, na kuikoa nchi dhidi ya magenge ya uhalifu, hawa wa bongo wanatikisa makalio balabalani, na kusubili posho! So pathetic
 
Cha kufurahisha polisi wanatuambia andamaneni,sisi tutawalinda.
 
Wenzenu wa Kenya, wapo HaITI, wanalinda Amani, na kuleta

Wenzenu akili kubwa, Kenya wapo HAITI, wanalinda Amani, na kuikoa nchi dhidi ya magenge ya uhalifu, hawa wa bongo wanatikisa makalio balabalani, na kusubili posho! So pathetic
Tanzania ni salama sana kuliko hiyo kenya ambayo imekuwa ikipata mashambulizi mbalimbali kutoka kwa alshababu.au umesahau tayari?
 
mi naona mihemko ndio mingi zaidi,

sasa polisi wanajipanga na kujiweka tayari kwaajili ya kutekeleza wajibu na majukumu yao ya kila siku iweje watumie nguvu?

Jeshi imara la police linatumia intelijensia, mbinu za kijeshi na maarifa ya kiwango cha juu mno kufanya kazi zao 🐒
 
Ni jambo la maana kwa vijana wote nchini, kuepuka na kujitenga kabisaa na magenge ya kihalifu..

ni muhimu kujiepusha kupeleka mzigo wa huzuni kwa wazazi ambao huenda wamekutuma mjini kuja kusoma tu 🤭
 
Tanzania ni salama sana kuliko hiyo kenya ambayo imekuwa ikipata mashambulizi mbalimbali kutoka kwa alshababu.au umesahau tayari?
Lucas uzuri ni kwamba hata utetee vipi, hii chuma ni yetu sote, labda uhame nchi but as long as unaishi TZ, kodi ninayokatwa mm na wewe pale bandarini ni sawa, matatizo ya uchumi wa nchi ntakayo pata mm na wewe yatakufikia, hata kama hayata ku-affect wewe hata watoto wako na vizazi vyako vya baadae yatawakuta tuu, unapofanya kitu jaribu kufikiria mara mbili-mbili.

Hata utetee vipi hiki kikombe tutakinywa wote.
 
Mbona hawafanyi hivyo kwa wanaotekwa na kuawa?
 
Hoja yako ni ipi ndugu yangu.
 
Hizi mbinu za gun boat diplomacy zilizotumiwa na wajerumani enzi za ukoloni ili kuwatisha wananchi ili wakubali kutawaliwa kiurahisi lakini mwishowe nguvu ya umma iliwafurusha pamoja na mitutu Yao.Nguvu ya umma haizuiliwi Kwa mitutu.
 
Hivi mkuu Lucas Mwashambwa huwa kuna shughuli nyingine ya kukuingizia kipato unafanya apart from hizi elfu saba mnazolipwa hapo Lumumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…