Wale watanganyika waliokuwa wanapigwa kwa kula chakula mchana wakati wa ramadhani walipigwa na nani?
acha mihemko mkuu, usishanganye mambo yasiyohusiana.
waliokuwa wanapigwa kwa kula mchana sio watanganyika hata wazanzibari
Wale watanganyika waliokuwa wanapigwa kwa kula chakula mchana wakati wa ramadhani walipigwa na nani?
Ndugu zao wakidhuriwa Tanganyika ado watavimilia kuwaona na kuishi nao watanganyika huko Zanzibar?
Padre aliye mwagiwa tindikali enzi za JK hakuwa mtanganyika?
Au wakati huo akili zilikuwa kwa watanganyika huku zikikosekana kwa wazanzibar na Sasa kibao kimegeuka?
Na Padre Shao/Shayo alimwagiwa tindikali akiwa Taganyika? Na wale wasichana wa kizungu walimwagiwa tindikali na Watanganyika?acha mihemko mkuu, usishanganye mambo yasiyohusiana.
waliokuwa wanapigwa kwa kula mchana sio watanganyika hata wazanzibari
Acheni kuteka, kuua na kuiba kura na raslimali za wananchi, ni rahisi sana na hakuna mtu anataka vitaTunategemea watalii kwa kununua bidhaa zetu, watalii wakiacha kuja tutakosa ugali, tutaumia kwa njaa. Hebu mkaridhiane mambo yaishe, ugali wetu usikosekane
Wanaweza wakawepo lakini ni asilimia ndogo nchi ikikosa amani hao watalii hawawezi kuja Hata wawekezaji wataogopa na wengine waliokuwepo watakimbiaMkuu unaizungumzia Zanzibar ipi? Mbona huku Michamvi, Paje tupo nao kama kawaida? Na si ajabu hata were moaning madam hapo umekaa Receiption unatumia wifi ya bungalow unasubiri ukawafanyie massages..
Hii inawezekana kwa ndugu, jamaa na wengineo kuwa pamoja ndipo litafanikiwa.Njia nyingine ni kuzuia wanafunzi kwenda mashuleni hii ni hatari zaidi kwa ccm ...pasionekana mwanafunzi yoyote barabarani, hii njia inanguvu zisizo onekana ila inao uwezo mkubwa wa kuangusha serikali pumbavu kama ya huyu kahaba.
Pakisha tamkwa tu asionekane wanafunzi mwenye uniform popote ni mzazi gani atakaye mtoa mtoto wake.Hii inawezekana kwa ndugu, jamaa na wengineo kuwa pamoja ndipo litafanikiwa.
Itakuwa yupo maungani huko😆Mkuu unaizungumzia Zanzibar ipi? Mbona huku Michamvi, Paje tupo nao kama kawaida? Na si ajabu hata were moaning madam hapo umekaa Receiption unatumia wifi ya bungalow unasubiri ukawafanyie massages..
Nani atatamka kauli yenye nguvu kuwazuia wazazi kuwaruhusu watoto?.Pakisha tamkwa tu asionekane wanafunzi mwenye uniform popote ni mzazi gani atakaye mtoa mtoto wake.
Sawa.. lakini bado huko hatujafika.Wanaweza wakawepo lakini ni asilimia ndogo nchi ikikosa amani hao watalii hawawezi kuja Hata wawekezaji wataogopa na wengine waliokuwepo watakimbia
Tutafika mda si mrefuSawa.. lakini bado huko hatujafika.
Nimesoma piaMimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach ndo maana issue imekuwa nzito Znz ni sababu watalii hawaji znz moja kwa moja lazma watokee bara.
Sasa Waambie Wabara washikilie hapo hapo, mbali na maandamano njia ingine ya kupata haki kwenye nchi huwa ni kufanya economic protest yani maandamano ya kiuchumi . Yani ni hivi lazma Watanzania wahakikishe kila siku bara kuna maandamano ya wananchi kudai haki. Kukiwa na maandamano nchini kila mara na wataliii watakata kabisa kote bara na Zanzibar na Zanzibar hawana kitu kingine zaidi ya utalii, so bara mkiendelea hivi mtai paralyze Zanzibar na mkiii paralyze Zanzibar kimapato na Wanzazibari watakuwa restless kama bara then mtajikuta kote mnadai haki iili mambo yakae sawa.
Mange sasa hivi tumeingia kwenye phase ya resistance sio maandamano tu, inabidi wewe mwenyewe uji tune na uwatune na Watanzania kuwa hii sasa ni safari ya resistance mpaka ushindi upatikane. Kushinda hii kitu mbali na maandamano ni lazma Watanzania muiparalyze serikali HARAM kimapato, cha kwanza lazma utaliii ukate, ule ukarimu kwa watalii inabidi uishe na hili message ipelekwe duniani kuwa hatutaki watalii kwenye nchi yetu mpaka nchi ipate haki.
Wao watalii wanatakiwa kutusaidia kupaza sauti kwenye serikali zao na sio kuja kupumzika kwenye nchi inayouwa raia wake kama wanyama.
Ndio na sisi tutaumia kwenye hili la watalii ila ni muhimu nchi nzima ikaumia kiuchumi ili woote tuungane kudai haki na kila mtu apambane nchi ipate HAKI.
Hii ya utalii ni moja tu kuna njia zingine pia za wananchi kupambana na serikali kiuchumi, naamini utaweza kufikir na kuja na ideas zingine ambazo mki mix na maandamano ya December 9 tutapata ushindi.
CHA KWANZA, NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA WABARA WAHAKIKISHE ZANZIBAR INABAKI NYEUPE HIVI HIVI BILA WATALIII NA IFANYIKE KAMPENI KABAMBE YA KWENDA DUNIANI KUA HATUTAKI WATALII TANZANIA MPAKA NCHI YETU IPATE HAKI. GEN Z WA ARUSHA WALIUAWA KIKATILI SANA, WALISIMAMIE HILI.
Kwani hii imeletwa na myu wa chama?nyie jamaa bana, yani mnshabakia wananchi wapate dhiki ili mpate kufanikisha ajenda zenu za kisiasa
SAs nyinyi na hao CCM muna tofauti gani?
Mkuu,CHA KWANZA, NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA WABARA WAHAKIKISHE ZANZIBAR INABAKI NYEUPE HIVI HIVI BILA WATALIII NA IFANYIKE KAMPENI KABAMBE YA KWENDA DUNIANI KUA HATUTAKI WATALII TANZANIA MPAKA NCHI YETU IPATE HAKI. GEN Z WA ARUSHA WALIUAWA KIKATILI SANA, WALISIMAMIE HILI.
Eti sio wapuuzi km wabara?Mkuu wazanzibari sio wapuuzi kama wabara, watanganyika wanaoishi Zanzibar hawatadhuriwa.
Wakati wazanzibar wanadai haki zao mlikuwa mnawakebehi sasa hivi mnataka wawaunge mkono kwenye mambo yenumkiii paralyze Zanzibar kimapato na Wanzazibari watakuwa restless kama bara then mtajikuta kote mnadai haki iili mambo yakae sawa.