SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

Wakati wazanzibar wanadai haki zao mlikuwa mnawakebehi sasa hivi mnataka wawaunge mkono kwenye mambo yenu
Hatuhitaji support yoyote kutoka kwa wazanzibar, maana tumeshagundua nyie na viongozi wenu ndio maadui zetu wakubwa sis watanganyika.

Kinachosubiriwa sasa hivi ni kuwaondoa Tanganyika nyie wote kwanguvu na huo muungano utavunjika automatically, na hao vilaza wenu akina Wanu watarudi kuja kuwaongoza huko visiwani.
 
Nani atatamka kauli yenye nguvu kuwazuia wazazi kuwaruhusu watoto?.

Ndiyo maana nikasema muunganiko wa pamoja ndiyo wenye majibu chanya!.
Kwani maandamano yalitamkwaje
 
Eti sio wapuuzi km wabara?
Kwamba mzenj ana akili kuliko mbara
😃😃😃😃😃anyway?
Siombi tufike huko naamini Mungu ataingilumia kati

hicho mnachokidai sasa hivi, wazanzibari wameanza kukipamabania zamani sana, huo ni uthibitisho kuwa wao walitangulia kupata akili
 
hicho mnachokidai sasa hivi, wazanzibari wameanza kukipamabania zamani sana, huo ni uthibitisho kuwa wao walitangulia kupata akili
Mkuu,
Mbona hakuna utekaji Zenji, wakati Bara ni kila siku??
 
Mara zote kipindi kama hiki cha uchaguzi wageni hupungua, hapa wageni wanaanza tena kuanzia December, tusubiri hiyo December ifike ndio tutajua, na usichokijua kuwa nipo katika hii sector ya utalii kwa zaidi ya miaka 10 na sio hao beach boy wanaosubiri taarifa
Mbona ume generalize moja kwa moja kuwa ni beach boy?

Au wewe ndio beach boy nini? Umeoana wazungu wawili watatu tayari umesha conclude
 
Back
Top Bottom