SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

Wale watanganyika waliokuwa wanapigwa kwa kula chakula mchana wakati wa ramadhani walipigwa na nani?

acha mihemko mkuu, usishanganye mambo yasiyohusiana.
waliokuwa wanapigwa kwa kula mchana sio watanganyika hata wazanzibari
 

kesi ya Padri ule mchongo ulikuwa ni wa TISS kama hujui mkuu, hata yule padri mwengine alieuliwa aligundulika kuwa aliemuua ni mwanajeshi na ndio mana ile kesi ikapotea kimya kimya.
ilikua ni michongo ya kutaka kuwatia nguvuni uamsho ili kuwazima kwenye kelele zao za muungano.
 
acha mihemko mkuu, usishanganye mambo yasiyohusiana.
waliokuwa wanapigwa kwa kula mchana sio watanganyika hata wazanzibari
Na Padre Shao/Shayo alimwagiwa tindikali akiwa Taganyika? Na wale wasichana wa kizungu walimwagiwa tindikali na Watanganyika?
 
Tunategemea watalii kwa kununua bidhaa zetu, watalii wakiacha kuja tutakosa ugali, tutaumia kwa njaa. Hebu mkaridhiane mambo yaishe, ugali wetu usikosekane
Acheni kuteka, kuua na kuiba kura na raslimali za wananchi, ni rahisi sana na hakuna mtu anataka vita
 
Mkuu unaizungumzia Zanzibar ipi? Mbona huku Michamvi, Paje tupo nao kama kawaida? Na si ajabu hata were moaning madam hapo umekaa Receiption unatumia wifi ya bungalow unasubiri ukawafanyie massages..
Wanaweza wakawepo lakini ni asilimia ndogo nchi ikikosa amani hao watalii hawawezi kuja Hata wawekezaji wataogopa na wengine waliokuwepo watakimbia
 
Kutakua na Cancellation nyingi za Watalii, Wazungu walivo sensitive na Human Rights na Security issues.

We Subili tu, USA na Embassy mbali mbali zianze kutoa Security alerts kwa watu wao.
 
Njia nyingine ni kuzuia wanafunzi kwenda mashuleni hii ni hatari zaidi kwa ccm ...pasionekana mwanafunzi yoyote barabarani, hii njia inanguvu zisizo onekana ila inao uwezo mkubwa wa kuangusha serikali pumbavu kama ya huyu kahaba.
Hii inawezekana kwa ndugu, jamaa na wengineo kuwa pamoja ndipo litafanikiwa.
 
Hii inawezekana kwa ndugu, jamaa na wengineo kuwa pamoja ndipo litafanikiwa.
Pakisha tamkwa tu asionekane wanafunzi mwenye uniform popote ni mzazi gani atakaye mtoa mtoto wake.
 
Pakisha tamkwa tu asionekane wanafunzi mwenye uniform popote ni mzazi gani atakaye mtoa mtoto wake.
Nani atatamka kauli yenye nguvu kuwazuia wazazi kuwaruhusu watoto?.

Ndiyo maana nikasema muunganiko wa pamoja ndiyo wenye majibu chanya!.
 
Nimesoma pia
Kunammhaja anasema yeye ni meneja wa hotel kubwa dar, hali si shwari
 
Mkuu,
Hili mbona wamelitambua mapema ndo sababu wakaamua kukamata na kukalia wenyewe Hazina ya Tanganyika??
 
Mkuu wazanzibari sio wapuuzi kama wabara, watanganyika wanaoishi Zanzibar hawatadhuriwa.
Eti sio wapuuzi km wabara?
Kwamba mzenj ana akili kuliko mbara
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒanyway?
Siombi tufike huko naamini Mungu ataingilumia kati
 
Je huwa mnafikiria kuhusu outcome nachojua watz wengi wana upeo mdogo wa kufikiri .

hawa viongozi wao hata hawana shida uweke resistance au usiweke ila hawawezi kukupa nchi
 
mkiii paralyze Zanzibar kimapato na Wanzazibari watakuwa restless kama bara then mtajikuta kote mnadai haki iili mambo yakae sawa.
Wakati wazanzibar wanadai haki zao mlikuwa mnawakebehi sasa hivi mnataka wawaunge mkono kwenye mambo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ