Somalia wapiga marufuku Sambusa

Mimi nimechukua kutoka kitabu mnachosema ni maneno ya mungu, si hadithi Za kanisa Kama ulivyoleta wewe
Mathew 5
Ni nani alikwambia kanisa lilitengeneza maandiko ya waislamu, embu funguka
 
Kuna wahuni humu kama Mokiti na MK254 hawana hoja wala hawawezi kujadiliana kea facts na lugha nzuri ,mimi huwa nawapuuza.
 
Kila kinywa kitamkiri Yesu kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yake
 

Walikua makahaba na wazinifu ndio ila baada ya kuolewa wakaacha ukahaba na uzinifu je hilo ni kosa kwao kuacha dhambi hizo?
 

Usiichambue biblia kwa mlengo wako. Ila uzuri nafurahi kuona kuwa wewe ni msomi mzuri wa biblia hakika kwake bwana Yesu kila goti liyapigwa.
 
Usiichambue biblia kwa mlengo wako. Ila uzuri nafurahi kuona kuwa wewe ni msomi mzuri wa biblia hakika kwake bwana Yesu kila goti liyapigwa.
Nimeichambua kwani nimeandika biblia yangu ?
 
Nacheka sababu huujui ukristo pia huujui uislam
Endelea kujifunza
 
Wao ndio walikuwa wanatengenezaga
 
Nimeichambua kwani nimeandika biblia yangu ?
Waislamu wengi wa kiafrika hawajui Quran kwasababu ya lugha.
Huyu mifano yote ameitoa kwenye biblia. Angeaonyesha kwa mifano kuwa kwenye Quran hakuna jambo hilo, Ningemuelewa sana.
Huwa napata wakati mgumu sana kujua hawa watu kama wanaelewa Quran vilivyo.
Hata maandiko yao hapa JF utayakuta yale ya Rest in peace, najuni sijui nini lkn mambo mengine kuhusu yaliyoandikwa kwenye Quran hakuna.
Wewe ungekuwa mjumbe mzuri sana kwa kuelezea Quran ilivyokuwa nzuri lkn umeishia kwenye Biblia.
Cha ajabu na kinachosikitisha huyu Yesu ambaye humtambui lkn Quran inamtabua kama nabii issa lkn kwa sababu hamjui lugha mnafikiri Yesu wa kwenye Biblia na kwenye Quran ni yule yule.
Muislamu ukimwambia mimi ni mkristo nihubirie ili nisilimu. Hapo ataanza kuikosoa Biblia, atatoa mifano mingi ya kwenye Biblia 99% na Quran 1% anamalizia kukuambia ni dini ya haki. Unashangaa hawa watu wanaelewa au wamekaririshwa?
Hongera sana kwa kuisoma Biblia, hii inaonesha unaisoma na kuikubali sana Biblia kuliko Quran. Kinachokufanya usiisome Quran ni kwasababu huijui lugha ya kiarabu. Bila kujua lugha ya Kiarabu huwezi kusali wala kwenda peponi lakini kwetu Mungu wetu anajua lugha zote.
 
Kwanini waislam wengi wanaogopa sana ukrito??? Nilijaribu kuhudhuria miadhara yao Yani badala wawakumbushe waumini wao kuacha shambi

Yaani wao ninkuponda wakristo tu cjui shida ipo wapi..

Kwenye mikutano ya injiri huwezi kuona mwakasege...anauponda uislam atahubiri injiri ....watu wataokoka habari imeisha..

Kwa ndugu zetu kemeeni Kuna waganga wengi wanatumia Quran...

Tumieni hyo mihdhara kukemea..
 
Kuna nyumba moja kulikuwa na shekh ana hizo video ya mihadhara. Inaelezea kuukosoa ukristo yaani mpk unashindwa kuelewa wanajifunza nini. Wanauogopa sana ukristo. Huwezi kukuta mikutano ya injili ya wakristo wanaukosoa uislamu.
Mahubiri mengine wanaelezea ukishakufa anakuja joka mkubwa mwenye kucha ndefu ametumwa na Allah. Anakuchoma na hizo kucha kaburini unahisi maumivu yasiyoelezeka anatoka na wewe anapaa.
Sasa unajiuliza umeshakufa unahisije maumivu? Nikajiuliza hii dini ndiyo maana huwa haitaki uhoji wanakuua maana ina mapungufu mengi sana. Na ipo kwenye lugha ya kiarabu ili usisome na ukaelewa. Waislamu wengi sana wakiafrika hawaijui quran
 

Kwani biblia ni kitabu cha Nani? Tulia daawa ikuingie Mimi sitii langu ninakuwekea maneno ya biblia kwa lugha ya kiswahili. Kazi kwako
 

Usipate homa, samaki hukaangwa kwa mafuta yake. Tulia daawa ikuingie
 

Kwanini wakristo mnatumia biblia kuhubiri , kwani hicho ni kitabu chenu ? Wapi Yesu alihubiri ukristo au kuwaambia wanafunzi wake wahubiri ukristo ? Wapi Yesu aliwaambia muwe wakristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…