inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwa hiyo kwenye kuhesabu tatu wanairuka!?Hii marufuku ipo tangu 2013 huko. Sambusa hazipikwi
Na mwanamama ole wako uvae sidiria
Haya yapo maeneo wanapotawala alshabab
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kwenye kuhesabu tatu wanairuka!?Hii marufuku ipo tangu 2013 huko. Sambusa hazipikwi
Na mwanamama ole wako uvae sidiria
Haya yapo maeneo wanapotawala alshabab
hahahahaaaKama ni kweli,basi alshabab hawana akili.
Ila inanishangaza Sana nchi zenye asili ya uislamu kujitetea mno dhidi ya ukristo. Uislamu haupendi challenge kabisa. Hii mbona Ni inshu ndogo Sana,sambusa si ni wazo tu la binadamu kuifanya iwe pembe tatu? Si wabadilishe waweke hata pembe sita au hata pembe Mia. Mbona kwenye ambulance msalaba wakabadilisha wameweka mwezi na nyota kwenye hizo nchi zao za kiislamu?
Oohooo! Hayo majamaa hayana akiri nzuri yakisoma hili bandiko yataanza kulifanyia upembuzi yakinifu . Kitakachofuata.........!!!Wakumbushwe na papuchi nayo ina shape hiyo.....
Bibie unakaa attention ili ukitajwa uislamu tu lazima utokee.Redio au TV shababu ndiyo iliyotangaza hivyo kupitia antena ya Kanisa lako ?
Hapana..maumbo tu ya pembe tatu..Kwa hiyo kwenye kuhesabu tatu wanairuka!?
Hakkuna neno linanikarahisha kama hili😆Mwanamke kuolewa Wanaita 'Kumsitiri'...! Au kumnusuru...!
Somalia failed state..Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia.
Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity)
Hichi kitu kimenishangaza kwa nini kisibadilishwe umbo la duara au mstatili, badala ya kuwanyima watu kitafunwa wanachokipenda kisa ujinga walio nao kichwani.
Au ndio udogo wa kufikiri?
View attachment 2473792
Alshabaab ni waislam, huo ni uislam..Huo upumbavu wa alshabaab waulize wanautoa wapi kwenye uislamu hakuna mambo kama hayo.
Ndivyo mnavyojitetea,jibu lako sijashangaa hata. Ruhusuni basi saudia Uhuru wa kuabudu kwa watu wa dini zingine km nyie mlivyokuwa huru kuabudu kwenye nchi zenye misingi ya dini zingine.Usipende kutuhumu uislamu kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu, wapi kwenye uislamu kumekatazwa sambusa au kitu cha umbo la triangle? kuhusu challenge uislamu una majibu kwa challenges zote lakini uislamu ni mkubwa kuliko kupigania kuharamisha sambusa, mzituhumu akili za hao wasomali na sio uislamu.
AsanteWakumbushwe na papuchi nayo ina shape hiyo.....
Unabishana na maamumaKwani mada inaongelea nn? Mbona unashindwa kujitambua
Wajinga haoHapana..maumbo tu ya pembe tatu..
Na + nayo inafanana na msalaba sijui nayo wamekataza isitumike kwenye mahesabu[emoji4]
😂😂😂😂😂Wakumbushwe na papuchi nayo ina shape hiyo.....
Kwani al shabaab huko somalia wanapambana na kuwaua kina nani kama sio waislamu wenzao? so wewe Mcqueenen ukifuga fisi tutasema ni ukristo ndio unafuga fisi, jenga hoja kwa utafiti si mihemko na chuki zisizo na sababu mkuu.Alshabaab ni waislam, huo ni uislam..
Hpn acha hzo usite hvyoHii dini Yao[emoji706][emoji124]