Somalia wapiga marufuku Sambusa

Somalia wapiga marufuku Sambusa

Sasa kwao kuna njaa kila mwaka, wameanza kupi
Kama ni kweli,basi alshabab hawana akili.

Ila inanishangaza Sana nchi zenye asili ya uislamu kujitetea mno dhidi ya ukristo. Uislamu haupendi challenge kabisa. Hii mbona Ni inshu ndogo Sana,sambusa si ni wazo tu la binadamu kuifanya iwe pembe tatu? Si wabadilishe waweke hata pembe sita au hata pembe Mia. Mbona kwenye ambulance msalaba wakabadilisha wameweka mwezi na nyota kwenye hizo nchi zao za kiislamu?
hahahahaaa
 
Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia.

Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity)

Hichi kitu kimenishangaza kwa nini kisibadilishwe umbo la duara au mstatili, badala ya kuwanyima watu kitafunwa wanachokipenda kisa ujinga walio nao kichwani.

Au ndio udogo wa kufikiri?
View attachment 2473792
Somalia failed state..
 
Usipende kutuhumu uislamu kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu, wapi kwenye uislamu kumekatazwa sambusa au kitu cha umbo la triangle? kuhusu challenge uislamu una majibu kwa challenges zote lakini uislamu ni mkubwa kuliko kupigania kuharamisha sambusa, mzituhumu akili za hao wasomali na sio uislamu.
Ndivyo mnavyojitetea,jibu lako sijashangaa hata. Ruhusuni basi saudia Uhuru wa kuabudu kwa watu wa dini zingine km nyie mlivyokuwa huru kuabudu kwenye nchi zenye misingi ya dini zingine.
 
Back
Top Bottom