Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,398
- 4,948
Pole everything will be okay mamaa pretty 🫂Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
It may not be easy right now,but everything will be alright in the end 🫂Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Nakuelewa sana,kipindi ulichopo usijidhuru na kujiona sio chochote haupo pekeako kwenye Hilo. yawezekana hutupo nawe kimwili kimaana pamoja lakini tupo nawe kiroho nafeel hiyo hali yako,kama kuna mtu wa karibu unamuamini jaribu kumshirikisha unayopitia kwa sasa yawezekana akawa msaada mkubwa kukuondoa katika hali uliyopo.Mimi ni mhanga wa hiyo hali yako naelewa vizuri sana namna unavojisikia.Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Mkuu yawezekana ikawa Kweli mapenzi au kitu kingine,lakini tumsaidie kwa saivi kwa sababu huwezi jua maisha yana Mambo mengi sana.Usiku wa manane umeshindwa kulala unawaza mapenzi.. Punguza kujiendekeza
Kumwambia asijiendekeze pia ni msaada, basi ingekuwa rahisi ningeenda kumkumbatiaMkuu yawezekana ikawa Kweli mapenzi au kitu kingine,lakini tumsaidie kwa saivi kwa sababu huwezi jua maisha yana Mambo mengi sana.
Sahihi mkuuKumwambia asijiendekeze pia ni msaada, basi ingekuwa rahisi ningeenda kumkumbatia
Pole saana,Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
I wish I were close to you sweetheart, wewe ni mtu muhimu sana maishani mwa watu ambao wengine hata huwafahamu mimi nikiwa mmoja wao. Nakupenda sana na naijari familia yako,. Don't do any stupid thing, you're strong than how you can think of yourself mamii...let's things slide as much as they can go off of you. Nichek PM tafadhali sanaKuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Lkn si madela yamekuwepo sahizi tu.. zamani dunia ilivaa nini mkuuPiga moyo konde..... maisha sio mepesi...Dunia imevaa dela
Wewe ni mkubwa kuliko changamoto ulizonazo.Kiuhalisia unapitia hali ngumu sana na sidhani kama umeyaandika yote hapa ila wapo watu wakuelewa shida yako na kukushauri.Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.