Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Pole saana,

Kwa kweli kuna kipindi maisha yanakuwa magumu kuliko ugumu wenyewe, miezi 3 iliyopita nilichapika haswa, kuanzia magonjwa, kazini, mpaka familia,

Kuna mtu akasikia naumwa akanipigia simu, akasema vipindi vigumu vinapitaga, jipe 6 month to a year mambo yatakaa sawa, then akasema vipindi vigumu ni test na mostly ni maandalizi ya kutusua, mungu anakutest ili ukitusua, usimsahau.

Kiukweli bado sijatusua maisha, ila namshukuru mungu nimerudi normal, na napambana nitusue. I believe kwa msoto niliopitia nina haki ya kutusua, na I am eagerly waiting and praying for my turn ya kutusua maisha
Pole sana mkuu. Mungu akuongoze upite salama🙏
 
I wish I were close to you sweetheart, wewe ni mtu muhimu sana maishani mwa watu ambao wengine hata huwafahamu mimi nikiwa mmoja wao. Nakupenda sana na naijari familia yako,. Don't do any stupid thing, you're strong than how you can think of yourself mamii...let's things slide as much as they can go off of you. Nichek PM tafadhali sana
Asante sana kwa kunitia moyo. Mungu akubariki🙏
 
Sema na mimi maneno haya "oh jesus,fanya muujiza maana nipo kwenye giza na ukija mwanga unaniumiza!!! Baba please kama unaniskiza naijongea altare nambie neno moja na mimi ntabaki pale"....
Hilo jaribu lako ni dogo na utalishinda njoo ufanyiwe maombi,wenye tatizo kama lako wengi wameshafunguliwa
Asante kwa dua❤️
 
Hisia hiyo ina nguvu kubwa sana. Wakati mwingine maneno mengi au suluhisho la kifedha haliondoi ule uchovu wa ndani ya roho.
Unachohitaji ni ubinadamu tu—kuhisi upendo, usalama, na uwepo wa mtu anayejali bila kukuhukumu.
Kumbatio na maneno hayo rahisi hubeba ujumbe mzito kwamba hauko peke yako katika mapambano yako
Asante kwa kuelewa kusudio la ujumbe wangu mkuu🙏
 
Back
Top Bottom