Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,398
- 4,948
- Thread starter
- #61
Asante sana dadapole sana.
Asante sana dadapole sana.
Kwa hilo nashukuru Mungu mpaka sasa nipo hai, naamini lipo kubwa jema mbele tangu🙏Mama pretty, wewe ni wa thamani sana! Tena sana...! Nakufahamu kama rafiki mwema na mtu wa maana Sana!
Tafadhali simama hapo ulipo na usitishe fikrq za kutoa uhai wako amq kujidhuru kwa nqmnq yoyote ile...! mawazo haya ya giza na ya kutaka kujidhuru ni uongo mkubwa unaoletwa na uchovu mwingi na uchungu wa sasa,
lakini haukufafanui wewe wala thamani ya maisha yako, . Maumivu unayoyapitia yana nguvu kwa muda mfupi tu, lakini kesho yako inaahidi mambo mazuri, makubwa na ya kuvutia ambayo bado hujayashuhudiaView attachment 3649496
duh Pole ndugu kama umekosa mtu I feel you,,hili nalo litapita inshallah,Ni kweli kabisa, ila nimekosa mtu wa kumwambia ndio maana nimekuja huku kutemea sumu yangu. Asante
Nitang’ara kama dhahabu😍Ukijua nyakati ngumu huja ili kutuimarisha utajipiga kifua na kusonga mbele.
Utatoka kama dhahabu nakuambia
Changamoto za kifamilia
Asante sana mkuuPole sana mama mrembo. Utakuwa sawa.
Nimekukumbatia kimoyomoyo.
Kweli sasa nipo peke yangu na maisha yananifundisha kisawasawa!Lazima ujifunze kuwa pekeako. Hilo ndilo maisha yatahakikisha yanakufundisha
Wakati haujafika wa mimi kufa mkuuBora ujiue tu
Husichoke kuamini, husichoke kuwa mvumilivu, husichoke kupambana. Nyanyuka tusonge mbele sote kesho hatuifahamu. Everything shall go alrightKuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Asante mkuuTambua ya kuwa life is a bitch..
It will kick your ass when you least expect it.
Nakuomba uje pm nikupe namna bora ya kuishi na changamoto zako bila kujikimbia
Sahihi ila huyo mwanaume asiwe sababu yako ya kuvurugwa😁Opo sawa kabisa mkuu, na hapa ndipo umuhimu wa mwanaume unapo onekana.
Kuna wakati mwanamke anahitaji mtu wa kumpa solutions, kupenda pia uwepo wa mwanaume humfanya mwanamke ajiosikie yupo secure.
NinaaminiD
duh Pole ndugu kama umekosa mtu I feel you,,hili nalo litapita inshallah,
Pole mamii hauko peke yako ingawa mimi sijawahi kufikiria kujiua.Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Umewasaliti wenzako wanao tuimbia "pesa ndio kila kitu......".Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Angalao umecheka.....mwanzo mzuri!!Big nyash inafanya nini kwenye kumbato😁
NDio unaamua sasa ufike, kunywa sumu jiueWakati haujafika wa mimi kufa mkuu
I send you my warm hug, and i whisper in your ear "everything will be okay mama"Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Point - 0NDio unaamua sasa ufike, kunywa sumu jiue