Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesaโ€ฆ Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Mtu pekee anaeweza kukumbutia na kukuambia everything will be owky na uka-feel anaitwa PESA.

#Hili nalo mkalitizame.
 
Umenichekesha kweli, kuleta viumbe vipya katika mifumo mibovu ya kama nchini mwetu ni kuwakosea sana hao viumbe. Hawa waliopo wanatosha kwa hapa, labda itokee tukienda nchi za watu wanaojielewa huko wasioangalia matumbo na familia zao tu
 
Kuna vitu kama huvipati mwili unakuwa makazi ya stress.
1. Good sex
2. Hugs
3. Time with family or Friends
4. Dancing
5. Exercise
6. Healthy food
 
Kuna vitu kama huvipati mwili unakuwa makazi ya stress.
1. Good sex
2. Hugs
3. Time with family or Friends
4. Dancing
5. Exercise
6. Healthy food
Atleast urinate vitatu kati ya hivyo ambavyo ni healthy food, good sex and exercises + time to socialise with people
 
Umenichekesha kweli, kuleta viumbe vipya katika mifumo mibovu ya kama nchini mwetu ni kuwakosea sana hao viumbe. Hawa waliopo wanatosha kwa hapa, labda itokee tukienda nchi za watu wanaojielewa huko wasioangalia matumbo na familia zao tu
Eti jamani umlete mtu kwenye nchi kama hii?

Mi hapana wanaozaa wazae tu!

Sipendi ubinafsi na roho mbaya hivyo siwezi kuendekeza hisia kuleta mtu aje kuishi kimbwa mbwa na stress kibao..!!
 
๐Ÿ†—๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜๐Ÿ’–๐Ÿ’“๐Ÿ’•๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’žโ™ฅ๏ธ
 
...therapy only works if you've a lower IQ than the therapist...๐Ÿ˜Ž
Kujiendekeza tu, WaTz sikuhizi mnapenda kuonewa huruma. Nani sasa ambaye hapitii changamoto kwenye maisha?
Ukipata matatizo piga goti kwa Mungu wako unaye muamini muite akusaidie, sio kulia lia kutafuta kuonekana uonewe huruma.
Dunia na watu hawajaumbwa kusikiliza matatizo yako, tambua kila shida unayopitia maana yake wewe ni mtaalam wa kutafuta ufumbuzi wa shida hiyo.
 
Na mtu huyo ni Mimi, much love Pretty Lo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ