Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,398
- 4,948
- Thread starter
- #161
Amin shekhe wangu🙏Muamini aliyekuumba, utakuwa na Amani, Imani isiyo na shaka.
Amin shekhe wangu🙏Muamini aliyekuumba, utakuwa na Amani, Imani isiyo na shaka.
Usinicheke dada.. sio vitu vyangu ndio maana nataka muongozo😂😂😂😂
Thanks doctorHugs dearest sister
Hakika🙏Everything is going to be okay 🫂
Sure🙏You were given this life because you are strong enough to live.
kwa sababu hii nitaishi!You were given this life because you are strong enough to live.
haya anza kuanzia sasa….Nitakuwa sehemu ya maisha yako kuanzia humu JAMII FORUM….najitolea kama makutupola.Sure🙏
kwa sababu hii nitaishi!
Nina nafuu kubwa sana.. nashkuru❤️Unajisikiaje sasa?
Asante sana.. ubarikiwe🙏haya anza kuanzia sasa….Nitakuwa sehemu ya maisha yako kuanzia humu JAMII FORUM….najitolea kama makutupola.
OkAsante sana.. ubarikiwe🙏
Inaonekana kumbato lako litaniondolea stress zangu zote
You deserve all the love in this worldNina nafuu kubwa sana.. nashkuru❤️
Wacha michezo mkuu😁Nakumbatia kwa kiasi cha shilingi 5k ila hii ofa kwa mwanamama wa umri 30-45
Hawa wengine kushuka chini dau lao linapanda kidogo
Indeed ❤️You deserve all the love in this world
Your welcome am good at that issue aiseee 🤗🤗🤗Wacha michezo mkuu😁
Hizo changamoto zitakujenga kama hutomlaumu ye yote zaidi jifunze jisamehe ,samehe pia kuanza upya ni kanuni bora ambayo wengi tunaiogopa jinenee nishati bora, jenga kikao cha wewe na mama pretty (you and yourself) kwakutafuta utulivu ikiwezekana nenda na daftari/notebook andika mazuri yako na madhaifu,maumivu yako ( ukijiskia kutoa machozi lia hadi maumivu uliyobeba yaishe) baada ya hapo jisamehe na msamehe mama pretty ukifanya hayo yote kwa ufanisi ujue kwamba yule uliyekuwa unamtafuta huku jamii forum ni wewe na mama pretty. Ubarikiwe sana kama umenielewaNaamini hivyo
Wajisikiaje kwa sasa?Asante mkuu
Asante sana mtibeli