Tumekusikia Shishi foodKuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Mama Pretty unaendeleaje kipenzi?Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Binadamu tupo kwaajili ya kusaidiana pale panapobidi zaidi sana piga moyo konde, jua kuwa ipo njia ya kutokea. Ni mapito tu ya muda ila na mbele kuna faraja na uso wako utajazwa na tabasamu na kusahau yaliyopita. Takupenda sana mama PrettyAsante sana kwa kunitia moyo. Mungu akubariki🙏
Au sio 😹pole sana unamengi mazito umepitia ndo maana unamtazamo huo kuelewa siyo rahisi
Mimi sio first born ni last born lakini naishi kama first born aiseee..!! 😥Asante dear.. haswa ukiwa first born..
😁😁😁 kuzaa raha momy… labda muda wako haujafika
Ninaendelea vizuri kabisaWajisikiaje kwa sasa?
Sasa kiburi kimetokea wapi jameni😂😂Ukiwa ma stress unatafuta mtibeli mmoja hata pm anakutuliza. Muachage kiburi. Shauri yenu
Jamani😂😂😂Tumekusikia Shishi food
Naendelea vizuri sana. Asante❤️Mama Pretty unaendeleaje kipenzi?
Amen dear❤️Mtu hawezi kuelewa hii hali mpaka aipitie! Mungu akufanyie wepesi mama🫂
Kazalie marekani basi babe watoto wasitesekeMimi sio first born ni last born lakini naishi kama first born aiseee..!! 😥
Kuzaa kiumbe ambacho hakijakuomba na kukileta nchi kama Tanzania ni huzuni kwa huyo mtoto..!! Mi naomba niwachie nyie mzae tu..!!
Mi nitalea watoto wa ndugu sababu wamejikuta tu wapo bongo bila kutarajia..!!
Sasa kiburi kimetokea wapi jameni😂😂
Hata huko pia hapana! Inshort sipendi kuleta kiumbe kwenye dunia hii..!!Kazalie marekani basi babe watoto wasiteseke
Nafurahi kusikia kuwa unaendelea vizuri. Cheers mamii 🥂Naendelea vizuri sana. Asante❤️
Hujapata wa kukuweza dear😁Hata huko pia hapana! Inshort sipendi kuleta kiumbe kwenye dunia hii..!!
Cheers🥂Nafurahi kusikia kuwa unaendelea vizuri. Cheers mamii 🥂
Kwanza kubeba shahawa za mtu tumboni kwangu nasikia kinyaa..!! 😹Hujapata wa kukuweza dear😁