Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.

Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.

Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Niliwahi pitia hii Hali aysee sitamanigi yoyote apitie
 
Niseme nisiseme. Acha niseme tu kuwa kufa ku wengne watazaliwa. Jitu zima unalilia kumbatio tena jf shenz kabisa kwan tulikutuma. Tunapambania katiba mpya wewe unaleta za ovyo shenzi r.i.p. Ukichukia nifate huku huku
Inaonekana kumbato lako litaniondolea stress zangu zote😁
 
Kingine tafuta mubaba wako awe anakuliwaza usiwe mpweke wewe kingine kinachokusumbua ni umweke hauna bega lakulilia
 
Mkishaga ona age imesunga ndio mnakuaga hivyo wkt huo ni sisi ndo hatunaga habari na mbususu zenu 😂
 
Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.

Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.

Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu nitakuwa sawa. Najiskia vibaya sana na nina uchungu mkubwa sana ndani yangu.🙏
Muamini aliyekuumba, utakuwa na Amani, Imani isiyo na shaka.
 
Back
Top Bottom