Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,398
- 4,948
- Thread starter
- #121
Njoo unikumbatie kipenziWengine hatuna pa kukumbatia
Njoo unikumbatie kipenziWengine hatuna pa kukumbatia
Amen sear naamini🙏Pole sana Mama pretty kila kitu kitakuwa sawa, muombe na umtegemee Mungu pekee ndie mweza wa kila kitu
Huu wimbo hunifanya nilie sanaSometimes in our lives we all have pain
we all have sorrow
lean on me when you're not strong
just call on me girl when you need a hand😘
Hapana anatania tuDah nyinyi wenzetu sijui mliumbwa na shetani, jini sijui kiumbe gani yaani mtu Yuko kwny hyo situation bado unamuogelea shit???🤔
Ni kweli sitakata tamaa🙏Dada, najua kuna maumivu ambayo hakuna mtu anaweza kuyabeba kwa niaba yako. Lakini usikubali nyakati ngumu za muda mfupi zikufanye uharibu maisha yako yote. Pambana hata kama ni kwa hatua ndogo, lia, pumzika, na tafuta msaada unapohitaji lakini usikate tamaa. Umefika hapo ukiwa na sababu ya kuishi, hata kama bado hujaiona.
Sitakata tamaa🙏Moja ya mtihani wa dunia hii ni kushinda nguvu ya kukata tamaa.
Usikate tamaa Mama pretty . Nyakati ngumu huja na kupotea ila watu wenye moyo ya kuvumilia hudumu. Baadaye itakuwa historia tu na utatabasamu ukikumbuka namna ulivyovuka kwenye nyakati ngumu bila kukata tamaa.
Asante sana mtumishi.. ni kweli kuna muda nimeonea wivu maiti! Lakini saaa nitasimama sitakata tamaa🙏Usisubiri mtu akuambie utakua sawa...
Jiambie mwenyewe kuwa nitakua sawa, hata ukiwa peke Yako fungua mdomo na tamka kuwa nitakua sawa, unapopitia Magumu usikubari kuvunjika Moyo, hata kama ni maumivu makubwa kiasi Gani, tamka kwamba changamoto yoyote inayonitokea, inatokea Kwa sababu ninaweza kupambana nayo, then tamkaaaa "Nitakua sawa"
Unaweza kuwa hujui kuhusu mambo ya Kiroho, ila unapotamka jambo Kwa Sauti, Ulimwengu wa Roho unasikia na itakua sawa na vile unavyotamka.
Unapokata tamaa ama kutamka maneno ya kukata tamaa, Ile spiritual negative energy haiishii hapo, inazidi ku push, that's why, inaanza kidogo kidogo, utasema Maisha ni Magumu, moyo wangu umeumizwa, na wewe ukikubari, itaenda mbele zaidi, baadaye utaanza kuwaza ama kusema, siwezi kuendelea namna hii, this is too much, nawe ukakubari ndani Yako itaendelea Tena kukusukuma, itafikia siku ukienda Msibani, ukaona Marehemu ndani ya Jeneza, unaanza kumuonea Wivu....!
Mkuu usikubari, utakufa kweli, tutakula Ubwabwa na tutakusahau.... Ukisikia ndani mawazo negative usikubari, panua mdomo, tamka Positive, ukiona mawazo ya kujua yanakuja, funua mdomo, tamka kwamba Sitakufa bali nitaishi....! Ukiona kukata tamaa na Maisha na unaweza kwamba utakufa Masikini, Usikubari Mkuu, tamka Kwa Sauti kwamba Mimi sio Masikini....!
Mungu akubariki Mtu wa Mungu.
Ni kweli kila kitu kitakua hisoriafake id zikukumbatie, aya sawa pokea kumbato langu everything will be okay
Dah nilisahau umesema mmoja.
Anyway i feel you, kuna kipindi maisha yanakuwa magumu sana, kwa upande wangu najiambiaga mwakani mwezi fulani nitakuwa naliona hili gumu la muda huu kama historia
Amen Mrs SmartMungu ampunguzie kadhia za dunia zinazomsibu na kumpa tumaini la maisha!
Everything will be okay
Nikiandika ni series na codes zipo uchi sana dearYeah ingependeza kama angeweka abc's zinazomsibu huenda kwa namna moja au nyingine angepata msaada/ ushauri
Pesa itafanya nini?Baada ya kukumbatiwa utataka pesa
The end is determined by the solution you haveHow sure are you, everything will be alright in the end?
It's not a guarantee that the end will be fine.
It can also be totally worse.
Asante dear. Natamani uishe kabisa🙏Yooo 🥹🥹 pole mama ningekua karibu ningeku hug 🫂 tungelia pamoja weee mpka uchungu ulionao upungue
Pole kipenzi kubali kama umeumia na uanze kupona taratibu
Ni kwa muda tu utahisi hivyo lakini yatapita maa ♥️
Mna njaa sanaPesa itafanya nini?
Asante mkuuWaweza kuja kanda ya ziwa upumzike siku 2 tu.
Mnooo si rahisi hata kidogo!pole sana unamengi mazito umepitia ndo maana unamtazamo huo kuelewa siyo rahisi
🫂😍 achilia anza upya watu wazuri bado wapo mazingira mazuri yapo 🥰Asante dear. Natamani uishe kabisa🙏
Naamini hivyoKaribu naamini hapa unawezapata mtu sahihi ambaye atakuvusha katika changamoto unayopitia.