Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

Sawa,wewe bado una wazazi na shemeji zako.
Haina haja ya kuumiza kichwa.
Hii point ya kusema kwa shemeji sijui nani kawafundisha vijana,

Mm simshauri mtu kufanya kazi za ovyo ovyo, fanya kazi yenye kipato kizuri, utayoifurahia,sio kwa sababu huna kazi bas wew kila inayokuja twende,
U need to have standards
 
Hak
Hii point ya kusema kwa shemeji sijui nani kawafundisha vijana,

Mm simshauri mtu kufanya kazi za ovyo ovyo, fanya kazi yenye kipato kizuri, utayoifurahia,sio kwa sababu huna kazi bas wew kila inayokuja twende,
U need to have standards

Hakika
 
Vijana wahitimu wa vyuo vikuu ni waoga sana.
Wataachaje kuwa waoga wakati huko chuoni wamegeuzwa robot, chawa na kufundishwa kukariri? Debates za kuwafunza kujenga hoja na kuwa majasiri hakuna tena, akijaribu kum challenge lecturer au Afisa wa loan board anatishwa, sasa hapo unategemea atakuwa na ujasiri huko uraiani?
 
Unawajua watu wangapi wa 7 na 4 ambao wametoka?
 
Hao darasa la Saba na form failure wengi hawajatoboa 90%

Kwa mbali naona vijana wenye Elimu ndo waniaishi vizuri
True kuna ndugu yang mmoja alikuwa adisi tuliosoma saiv elimu aina value nimepata kazi napigwa mzinga kama M23.
 
Kiukwel kwa uelewa wangu washikaj ambao toka nasoma mpk leo nikirud kitaa maisha ni yale yale chumba kimoja kitanda na sofa na tv basi wengi wao maisha hawajayapat
na ni miaka kumi nyuma toka walipomaliz form4 au lasab maisha sio kitu rahis .........kwamba lasaba form 4 wametoboa kati ya 100 unakuta ni wawil au watatu 97 wote holla achen sias bna wengi weny elimu
..........wana maisha kidgo ingawa kwel inatokea unapotea kwa kias chake ila mambo yanajipa kwa kias chake ... ila all in all watu ambao hawan elimu wanachuki na wivu mbaya mno wanapend waone anguko la msomi 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…