Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Jinsia yake ni connection tosha.Jana nilikutana na Binti wa Miaka 22 kala shavu kwenye Organization moja hapa town.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsia yake ni connection tosha.Jana nilikutana na Binti wa Miaka 22 kala shavu kwenye Organization moja hapa town.
Hapana mkuu! amebahatika tu, HR aliyempitisha ni Ke...amepata bahati tu.Jinsia yake ni connection tosha.
Hii point ya kusema kwa shemeji sijui nani kawafundisha vijana,Sawa,wewe bado una wazazi na shemeji zako.
Haina haja ya kuumiza kichwa.
Hii point ya kusema kwa shemeji sijui nani kawafundisha vijana,
Mm simshauri mtu kufanya kazi za ovyo ovyo, fanya kazi yenye kipato kizuri, utayoifurahia,sio kwa sababu huna kazi bas wew kila inayokuja twende,
U need to have standards
Wataachaje kuwa waoga wakati huko chuoni wamegeuzwa robot, chawa na kufundishwa kukariri? Debates za kuwafunza kujenga hoja na kuwa majasiri hakuna tena, akijaribu kum challenge lecturer au Afisa wa loan board anatishwa, sasa hapo unategemea atakuwa na ujasiri huko uraiani?Vijana wahitimu wa vyuo vikuu ni waoga sana.
Unawajua watu wangapi wa 7 na 4 ambao wametoka?Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni.
kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo kudhani kuna njia moja tu ya kutoboa, muda unaenda akiwa anazurura mtaani, anaweza kupata kazi ya fani yake ila akaishia kujitolea bila mshahara kwa muda mrefu.
Miaka inaenda haraka mnooo anagonga 30, kidogo anaanza kujitambua anafungua duka la kawaida kwa kuwa anona kazi ya kuchoma mishkaki, kuchoma mahindi, kuuza nyanya, kuwa mama ntilie, kuwa kinyozi, SIO HADHI YAKE YA MHITIMU, hapo dukani unakuta anafanya biashara aliyoiga ili kumaintain satus yake ya kuwa mhitimu, na kwa vile bado ana mindset ya kichuo na kutaka kuendana na wenzake wachache walioajiriwa sehemu zenye ulaji, anajikuta anatumia mpaka mtaji ku keep up.
Ubao unasoma 35 III !!! ndio anakuja justuka kwamba yupo tayari kufanya chochote halali bila kujali hadhi yake wala atavyosemwa, hapo ndo unakuta mtu anaanza kujua kwamba hata kazi alizozidharau zinaweza kumtunza, anajilaumu kwamba alichelewa sana.
Wakati huo wale wa darasa la saba na form 4 walishastuka zamani sana
True kuna ndugu yang mmoja alikuwa adisi tuliosoma saiv elimu aina value nimepata kazi napigwa mzinga kama M23.Hao darasa la Saba na form failure wengi hawajatoboa 90%
Kwa mbali naona vijana wenye Elimu ndo waniaishi vizuri
Kabisa unashindana na ke.😄Jinsia yake ni connection tosha.
Umejibu vema, jamaa hakuwaza kuwa jinsia 'ke' ni connection tosha kabisaJinsia yake ni connection tosha.