Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
- Thread starter
-
- #81
Mkuu mbona mapema sana...ungesubiri michuano iishe ndipo uanzishe thread yako.
Alafu unasema "Halafu Leo Wanatokea Misukule from Nowhere wanakwambia "LALIGA NI LIGI BORA UKILINGANISHA NA EPL= ubora wao uko vipi? Miaka yoote ligi yao mbovu na hukusema kitu 😀😀 only one season ndio wamekuaminisha kuwa wao ni bora!! ...so last year's mbona hukuja na thread yako hapa, au wale walikuwa sio epl team's?? 😀😀 hiyo ni nguvu ya soda kamanda...labda CITY ndio atajitahidi lakini sio hao wengine.
We ujue huelewi haswa unachoongea kwenye hilo swala la ligi ya ushindani...haiwezakani leo timu zinazocheza ligi isiyo na ushindani ndo zikachukue ubingwa mbele ya timu zinazocheza ligi ya ushindani tena mara nyingi watakavyo huku wakiweka historia kama ya ku win back to back
Madrid na Barca zisingeweza kushinda Uefa karibia kila msimu kama la liga ingekuwa si ligi bora Duniani...yaani hizi timu zingekua kama Yanga na Simba kuishia hatua za awali kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika kwa sababu kama hizo za kucheza ligi dhaifu epl hongera zao kuja na timu 5 round ya 16 ila itakuwa ufala kama timu 3 zikaishia hapo hapo 16 na timu 3 za la liga zikalazimika kucheza wenyewe kwa wenyewe fainali..
Ndio wanaanza kuijuwa? Sema ni cheap kutizamana La liga hata Azam wanaonesha EPL pesa ikutoke ndefu.Swala la kuangaliwa na watu wengi sio haja kwan hiyo inatokana na investment kwenye advertisement, ila kwa sasa laliga nao wamefunguka so watu wengi wanaanza kuijua na kuifurahia
[emoji23] [emoji23] 65 wakati team zina alikwa kwa card kama harusi. Miaka ya 85 kama team za EPL wakati huo first division kufungiwa europe kwa miaka 5 team kama Liverpool ilikuwa katika kiwango cha juu sana wangeshinda hata mara 3.Sisi Tupo December 7, 2017 wewe ndiyo Kwanza Unazungumzia 1965??
Sisi Tunazungumzia Real Ya Ronaldo Gay na sio ya De Stefano...
Na Bahati Mbaya Mimi Nilisoma PCB sikusoma HKL kama nitakuwa Mwalimu Mzuri Wa Historia.
Sisi Tupo December 7, 2017 wewe ndiyo Kwanza Unazungumzia 1965??
Sisi Tunazungumzia Real Ya Ronaldo Gay na sio ya De Stefano...
Na Bahati Mbaya Mimi Nilisoma PCB sikusoma HKL kama nitakuwa Mwalimu Mzuri Wa Historia.
[emoji23] [emoji23] 65 wakati team zina alikwa kwa card kama harusi. Miaka ya 85 kama team za EPL wakati huo first division kufungiwa europe kwa miaka 5 team kama Liverpool ilikuwa katika kiwango cha juu sana wangeshinda hata mara 3.
Ila zikitolewa mapema ndio kipimo cha ligi mbovu? come oooonKuingiza team knockout stage sio kipimo cha ubora wa ligi.
Hapo kwenye RED Kaa mkao wa kula..soon watakuijia na matusi madrid fans.😀😀😀😀😀😀
Ila zikitolewa mapema ndio kipimo cha ligi mbovu? come oooon
Sijaamini Kama watu wanaweza idharau Madrid kiasi hiki
Mimi si wa kuweka vigezo,ila wataalam ndo wanaoweka vigezo lkn mambulula kama nyie ushabiki maharage kujifanya mnajua vigezo mnavyojiwekea vijiweni while ukiingia [emoji289] unakuta mambo tofautiSasa wewe weka vigezo, maana PSG atachukuwa ubingwa na uwezo wanao na legue 1 itakuwa bora. Ligi bora ni ile yenye kupendwa nà yenye thamani kubwa sasa EPL thamani yake ni mara 3 ya La liga. Haiwezekani kitu bora ununue cheap.
Atakaendelea kubisha nambie nikamloge atoke kishipa
Madrid akibeba ubingwa mwaka huu nitatembea uchi Bunju mpaka posta mpya...Kwa jibu hilo nafikiri saa hizi kashaenda kukojoa na kulala...7th December EPL wanasheherekea kuingizia timu 5 hatua ya 16,3rd June LFP watakuwa wanagonga mvinyo na wa kubebe Uefa mara 5 mfululizo.
Mara ya mwisho bingwa wa champions league kutoka England ni 2012..
Kwahiyo kwa misimu 5 champions league imechukuliwa na nchi nyingine..
Kati ya mara hizo 5 , mara 4 ubingwa umeenda la liga, na moja ujerumani...
Hapo usiulize katika mfululizo huo la liga wamekutana fainali wenyewe mara ngapi, nusu fainali mara ngapi wanakutana wao tuu wanapunguzana..
Uliza wafungaji bora wa uefa champions league wanatoka ligi gani kwa miaka 10 iliyopita???
Wachezaji bora wa hiyo Uefa, kuanzia mabeki , viungo hadi washambuliaji wanatoka ligi gani?
Ukishamaliza kujiuliza na kupata majibu utajua mwenyewe ligi bora ni ipi..
Tatizo England mafanikio kidogo mdomo mwingi, just imagine harry kane angekuwa ana goli 9 za kama Ronaldo sahizi au Manchester united wangekutana fainali champions league na liverpool mara mbili ndani ya miaka mitatu kama atletico na real madrid.. uone jinsi wangepiga makelele
Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona
Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...
Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!