Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana

Results are only viewable after voting.
Mkuu mbona mapema sana...ungesubiri michuano iishe ndipo uanzishe thread yako.

Alafu unasema "Halafu Leo Wanatokea Misukule from Nowhere wanakwambia "LALIGA NI LIGI BORA UKILINGANISHA NA EPL= ubora wao uko vipi? Miaka yoote ligi yao mbovu na hukusema kitu 😀😀 only one season ndio wamekuaminisha kuwa wao ni bora!! ...so last year's mbona hukuja na thread yako hapa, au wale walikuwa sio epl team's?? 😀😀 hiyo ni nguvu ya soda kamanda...labda CITY ndio atajitahidi lakini sio hao wengine.

Huyo City Ndiyo Hatafurukuta Kuliko Hawa Wengine...

Kwa Ngazi Ya Ulaya City Ni Sawa na PSG Ni Promo tu Hamna Kitu.
 
We ujue huelewi haswa unachoongea kwenye hilo swala la ligi ya ushindani...haiwezakani leo timu zinazocheza ligi isiyo na ushindani ndo zikachukue ubingwa mbele ya timu zinazocheza ligi ya ushindani tena mara nyingi watakavyo huku wakiweka historia kama ya ku win back to back

Madrid na Barca zisingeweza kushinda Uefa karibia kila msimu kama la liga ingekuwa si ligi bora Duniani...yaani hizi timu zingekua kama Yanga na Simba kuishia hatua za awali kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika kwa sababu kama hizo za kucheza ligi dhaifu epl hongera zao kuja na timu 5 round ya 16 ila itakuwa ufala kama timu 3 zikaishia hapo hapo 16 na timu 3 za la liga zikalazimika kucheza wenyewe kwa wenyewe fainali..

Kwahiyo Beryan Munich aliyecheza FAINALI 3 za Champion League Ndani Ya Miaka 5 vs Intermilan, vs Chelsea na Moja Akabeba Ndoo! Je Bundes Liga ilikuwa Ligi Bora?
Kumbe Hujui Tofauti Ya Timu Bora na Ligi Bora!!
Vizuri Nikupuuze Tu...
 
Swala la kuangaliwa na watu wengi sio haja kwan hiyo inatokana na investment kwenye advertisement, ila kwa sasa laliga nao wamefunguka so watu wengi wanaanza kuijua na kuifurahia
Ndio wanaanza kuijuwa? Sema ni cheap kutizamana La liga hata Azam wanaonesha EPL pesa ikutoke ndefu.
 
Sisi Tupo December 7, 2017 wewe ndiyo Kwanza Unazungumzia 1965??

Sisi Tunazungumzia Real Ya Ronaldo Gay na sio ya De Stefano...

Na Bahati Mbaya Mimi Nilisoma PCB sikusoma HKL kama nitakuwa Mwalimu Mzuri Wa Historia.
[emoji23] [emoji23] 65 wakati team zina alikwa kwa card kama harusi. Miaka ya 85 kama team za EPL wakati huo first division kufungiwa europe kwa miaka 5 team kama Liverpool ilikuwa katika kiwango cha juu sana wangeshinda hata mara 3.
 
Sijaamini Kama watu wanaweza idharau Madrid kiasi hiki
 
Sisi Tupo December 7, 2017 wewe ndiyo Kwanza Unazungumzia 1965??

Sisi Tunazungumzia Real Ya Ronaldo Gay na sio ya De Stefano...

Na Bahati Mbaya Mimi Nilisoma PCB sikusoma HKL kama nitakuwa Mwalimu Mzuri Wa Historia.

Hapo kwenye RED Kaa mkao wa kula..soon watakuijia na matusi madrid fans.😀😀😀😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] 65 wakati team zina alikwa kwa card kama harusi. Miaka ya 85 kama team za EPL wakati huo first division kufungiwa europe kwa miaka 5 team kama Liverpool ilikuwa katika kiwango cha juu sana wangeshinda hata mara 3.

Tatizo Hao Ni Watoto Waliopenda Mpira 2009 kwa Kumuona Messi Pale Laliga...
Akitaka Historia Hajuia Kwamba Kuanzia Mwaka 1977 mpaka 1982 lilikaa Uengereza Miaka 6 mfululizo..
Mpaka Mwaka 1984 walipoona Liverpool ndiyo Mfalme Wa Ulaya Wakazifanyia Hujuma Timu Za Uengereza Kwa Miaka 5 mfululizo...

Lakini Hiyo itabaki Ni Historia tu na Haina Nafasi Katika Mjadala Huu Kwani Mimi Siamini Historia Bali Ninaamini Kinachoendelea Muda Huu.
 
Hapo kwenye RED Kaa mkao wa kula..soon watakuijia na matusi madrid fans.😀😀😀😀😀😀

Teh teh teh teh teh 😀😀😀 Mimi Ni Fan Boy Wa Ronaldo Ni Role Model wangu Wa Muda Mrefu Katika Sika lakini Ninajua na Nina Uhakika 100% Kuwa Ronaldo Ni Gay (Shoga)...
Anaebisha abishe tu...
 
Sasa wewe weka vigezo, maana PSG atachukuwa ubingwa na uwezo wanao na legue 1 itakuwa bora. Ligi bora ni ile yenye kupendwa nà yenye thamani kubwa sasa EPL thamani yake ni mara 3 ya La liga. Haiwezekani kitu bora ununue cheap.
Mimi si wa kuweka vigezo,ila wataalam ndo wanaoweka vigezo lkn mambulula kama nyie ushabiki maharage kujifanya mnajua vigezo mnavyojiwekea vijiweni while ukiingia [emoji289] unakuta mambo tofauti
0d775a29657a00647d747fb3533cd02e.jpg
ligi haiwezi hata kutoa mchezaji bora wa ulaya au hata mfungaji bora Uefa ndo ikawe ligi bora!!!!!

Si comedy hiyo..!!
 
Mara ya mwisho bingwa wa champions league kutoka England ni 2012..

Kwahiyo kwa misimu 5 champions league imechukuliwa na nchi nyingine..

Kati ya mara hizo 5 , mara 4 ubingwa umeenda la liga, na moja ujerumani...

Hapo usiulize katika mfululizo huo la liga wamekutana fainali wenyewe mara ngapi, nusu fainali mara ngapi wanakutana wao tuu wanapunguzana..

Uliza wafungaji bora wa uefa champions league wanatoka ligi gani kwa miaka 10 iliyopita???

Wachezaji bora wa hiyo Uefa, kuanzia mabeki , viungo hadi washambuliaji wanatoka ligi gani?

Ukishamaliza kujiuliza na kupata majibu utajua mwenyewe ligi bora ni ipi..

Tatizo England mafanikio kidogo mdomo mwingi, just imagine harry kane angekuwa ana goli 9 za kama Ronaldo sahizi au Manchester united wangekutana fainali champions league na liverpool mara mbili ndani ya miaka mitatu kama atletico na real madrid.. uone jinsi wangepiga makelele
 
Kwa jibu hilo nafikiri saa hizi kashaenda kukojoa na kulala...7th December EPL wanasheherekea kuingizia timu 5 hatua ya 16,3rd June LFP watakuwa wanagonga mvinyo na wa kubebe Uefa mara 5 mfululizo.
Madrid akibeba ubingwa mwaka huu nitatembea uchi Bunju mpaka posta mpya...

Yeyote ajitokeze kuandikiana hiki kiapo
 
Mara ya mwisho bingwa wa champions league kutoka England ni 2012..

Kwahiyo kwa misimu 5 champions league imechukuliwa na nchi nyingine..

Kati ya mara hizo 5 , mara 4 ubingwa umeenda la liga, na moja ujerumani...

Hapo usiulize katika mfululizo huo la liga wamekutana fainali wenyewe mara ngapi, nusu fainali mara ngapi wanakutana wao tuu wanapunguzana..

Uliza wafungaji bora wa uefa champions league wanatoka ligi gani kwa miaka 10 iliyopita???

Wachezaji bora wa hiyo Uefa, kuanzia mabeki , viungo hadi washambuliaji wanatoka ligi gani?

Ukishamaliza kujiuliza na kupata majibu utajua mwenyewe ligi bora ni ipi..

Tatizo England mafanikio kidogo mdomo mwingi, just imagine harry kane angekuwa ana goli 9 za kama Ronaldo sahizi au Manchester united wangekutana fainali champions league na liverpool mara mbili ndani ya miaka mitatu kama atletico na real madrid.. uone jinsi wangepiga makelele

Nyinyi Porojo Nyingi Mbona Tukiwauliza Maswali Hamtujibu Kuhusu Ubora Wa Ligi???

1) Je, FC Poto ilipobeba CL 2004, Ligi ya Ureno ilikuwa Ligi Bora??

2) Je, Inter Milan ilipobeba CL 2010 Ligi ya Italy ilikuwa Ligi Bora??

3) Je, Beryan Munich ilipobeba CL 2013 Ligi ya Ujerumani ilikuwa Ligi Bora??

Jibu hapo tupate Pa Kuanzia...
 
Tatizo Letu Hamujui Tofauti Ya LIGI BORA, na TIMU BORA...

Yawezekana LIGI IKAWA MBOVU kama LALIGA lakini Ndani Yake Mukawa na TIMU BORA kama Zilivyo REAL na BARCA kutokana na uwekezaji Wao...

Yawezekana LIGI IKAWA MBOVU kama ilivyo FRANCE lakini Mukawa na TIMU BORA kama ilivyo PSG kutokana na uwekezaji wake...

Yawezekana Ligi IKAWA MBOVU kama ilivyo Ujerumani lakini Ndani Yake Mukawa na TIMU BORA kama ilivyo Beryan kutokana na Uwekezaji wake
...

Kwahiyo Jifunzeni Kudadavua Mambo...

EPL NI BEST LEAGUE IN THE WORLD
 
Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona

Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...

Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!

Tofautisha USHINDANI na USINDIKIZAJI.....
HIVI ARSENAL nae unamuita MSHINDANI? Mwaka wa 10+ no EPL bado anaitwa mshindani?
SPURS nae mshindani?ana safari ndefu kuitwa mshindani pumzi ndogo
LIVERPOOL nae mshindani? mie tangu nianze fuatilia mpira sijawaona wakibeba EPL
MANCHERSTER UNITED nae mshindani? Huyu zama zake zimeshakwisho na ndio maana anaingia mwaka wa 5 bila EPL sasa hivi wanaishi kiujanja ujanja tu.

Hivi unavyoviita VIGOGO pale EPL vimeshaliwa na mchwa imebaki story tu au ZILIPENDWA maana hata tukiuliza miaka mitano iliypita ligi gani imecheza UCL fainali nyingi na kutwaa ubingwa jibu ni LA LIGA.

EPL WASHINDANI NI; CHELSEA NA MAN CITY (Pesa inaongea,Kiu ya mafanikio)

LA LIGA WASHINDANI NI; ATLETICO MADRID,REAL MADRID NA BARCA
 
Back
Top Bottom