Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
- Thread starter
- #81
Mkuu mbona mapema sana...ungesubiri michuano iishe ndipo uanzishe thread yako.
Alafu unasema "Halafu Leo Wanatokea Misukule from Nowhere wanakwambia "LALIGA NI LIGI BORA UKILINGANISHA NA EPL= ubora wao uko vipi? Miaka yoote ligi yao mbovu na hukusema kitu 😀😀 only one season ndio wamekuaminisha kuwa wao ni bora!! ...so last year's mbona hukuja na thread yako hapa, au wale walikuwa sio epl team's?? 😀😀 hiyo ni nguvu ya soda kamanda...labda CITY ndio atajitahidi lakini sio hao wengine.
Huyo City Ndiyo Hatafurukuta Kuliko Hawa Wengine...
Kwa Ngazi Ya Ulaya City Ni Sawa na PSG Ni Promo tu Hamna Kitu.