Somo kwa wastaafu: Pesa za pensheni siyo za kufanyia biashara kama unataka kuishi Maisha marefu

😅😅😅
 
Kadiri inavyowezekana, Serikali na Taasisi zake ziendelee kutoa semina za kuelimisha Watumishi ambao wanakaribia kustaafu!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni ujinga,utastaafuje hâta kujenga Bado? Miaka yote kazini kabla ya kustaafu utashndwaje kujenga
 
Mzilankende aliwakomoa Wachaga kimara,alikuwa na Chuki Kali,70% ya nyumba kimara ni za Wachaga
 
Daaah,umenifanya nicheke sanaaa
 
Binafsi bi mkubwa aliomba kustaafu 6 years before akaona afanye biashara ..kapata mafao yake na mpaka leo biashara aliyoanzisha ipo na anapata riziki kama kawaida tena zaidi ya mshahara aliokuwa anapata na hakuwahi kufanya biashara zaidi ya kuuza visheti na ubuyu kwa wanafunzi hakuwahi mshirikisha mwanae yyte nn atafanya akistaafu aliamua tu kuacha kazi afanye biashara ..so inawezekana ukiamua focus na kuweka effort na akili yako yote kwa kitu ulichodhamiria kufanya utatoboa na kufurahia uzee wako biashara inahitaji caringa na uaribu wa hali ya juu kama mtoto..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…