kam umejiridhisha na supplier basi ondoa wenge..wanatumia ndege au meli.Safi sana.
Nimeagiza projector kupitia Alibaba kwa mara ya kwanza, na nimeshailipia lakini status bado haijafanyiwa shipping, nina wenge kimtindo kutokana na ugeni wa hii online business.
Naomba kujua jinsi ya kujiunga PayPal na account yangu ya bank
> Anzia hapa: Fahamu jinsi ya Kulink/ Kuregister Paypal account Tanzania
> Ukikwama mahala usisite kuuliza.
Ni projector ya 35USD na shipping wamenipa 25USD jumla 60USD.kam umejiridhisha na supplier basi ondoa wenge..wanatumia ndege au meli.
na jee cost waliyokupa ni kiasi gani
Unamaanisha page hii?unaweza share product page?
Wewe jamaa Una akili Sana Fanya hivyo, ila mdogo mdogoPia mkuu Masterchief ninakushukuru saana kwa uzi making.
Nina mdogo wangu anamaliza chuo mwaka huu ninamtumia link ya huu uzi asome kila kitu then nitampa pesa kidogo aagize ninchotaka ili ajifunze baadae tuifanye kuwa fursa
Sio lazima tumia njia zingine weka kiasi cha pesa kwenye card ya bank inayosupport malipo mtandaoni lipiaNaomba kujua jinsi ya kujiunga PayPal na account yangu ya bank
Nilikuwa nahitaji hili portable speaker
View attachment 2971008
Lakini nikiangalia bei yake ni ndogo kuliko shopping cost kama ilivyo hapo chini nafanyaje hapa?
View attachment 2971009
Maelekezo mbona yametolewa. Jitahidi kusoma. Wewe unatafuta product kisha unamtafuta agent wa Tanzania mwenye ofisi china. Utaangalia cost kama ni meli au ndege utapewa gharama.Nilikuwa nahitaji hili portable speaker
View attachment 2971008
Lakini nikiangalia bei yake ni ndogo kuliko shopping cost kama ilivyo hapo chini nafanyaje hapa?
View attachment 2971009
Alaaa!!! Kumbe? Ahsante sana brotherMaelekezo mbona yametolewa. Jitahidi kusoma. Wewe unatafuta product kisha unamtafuta agent wa Tanzania mwenye ofisi china. Utaangalia cost kama ni meli au ndege utapewa gharama.
NdioKampuni yenu inatoza Kwa CBM( CUBIC METER)- SEA CARGO
Hii ni pamoja na kodiNdio
General goods- 1 CBM NI 350 usd,sensitive goods 400usd na heavyweight goods ni usd 350 usd