Hapana nilichoandika ni based on maswali na experience ya wadau niliokutana nao pmAndiko lako mkuu linawapa hofu begginers na kuwakatisha tamaa, isitoshe dalili huwa hazifanani... in meditation you dont tell a person what he/she will observe rather unamuachia yeye mwenyewe afanye kisha ndiyo akueleze alicho-experience... ukimwambia before utamfanya asijiamini ikitokea kile ulichomwambia sicho alichokutana nacho... nasherehesha tu.
Haya sasa wazee wa mikeka[emoji23] [emoji23]Mshana meditation ipi inaweza kusaidia kupredict mambo yanayokuja future mfano kubashiri matokeo ya Michezo
Naomba unitag nisomeKuna mada ya kismati ama ngekewa ngoja niitafute takutag kuna watu wako hivyo, hiyo ni kinyume na kimavi ama mikosi wakati wewe kila ukiwazacho unakipata kwa njia hizo kuna wenzako wamakisotea na hawakipati ng'o..!!!
Ukisikia waganga wamatoa matangazo ya kusafisha nyota ni vitu Kama hivyo
NB: hii fanya iwe siri yako wabaya wako wakijua umekwisha na pia chunga sana nguo zako hasa za ndani, nywele zote, mate nk nk
Nikianza kusikia sauti na kujihisi tofauti lazma nitoke nduki mi ni muoga mnoo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Je nikiacha itakuaje,Hutakiwi kuacha
Ha ha ha ha haNi sawa na kuacha shule kwa kuogopa umande
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mada ya kismati ama ngekewa ngoja niitafute takutag kuna watu wako hivyo, hiyo ni kinyume na kimavi ama mikosi wakati wewe kila ukiwazacho unakipata kwa njia hizo kuna wenzako wamakisotea na hawakipati ng'o..!!!
Ukisikia waganga wamatoa matangazo ya kusafisha nyota ni vitu Kama hivyo
NB: hii fanya iwe siri yako wabaya wako wakijua umekwisha na pia chunga sana nguo zako hasa za ndani, nywele zote, mate nk nk
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Hapana
Nitafsirie
Faida za tahajudi ya vipassanaNitafsirie
Sasa kama huwezi si uache.Ila meditation inahitaji ujasiri pia, mie ambae nnamkimbia hadi mende I guess hii kitu siwezi