Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana
Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana
Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael
Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda,
Ni sawa tu na mwanaume kupigwa na mkewe halafu mwanamke ajisifu, asijue yule mumewe anaogopa kufungwa jela maisha yake yote kwa hofu ya kumuuwa
Ndivyo lilivyo taifa la Israel!
Ilionekana ni kama kituko cha karine alichokifanya Israel baada ya yale mabomu yaliyotumwa kutoka Irani, Israel alichojibu ni kutuma kitufe fulani hivi ambacho Wairan walikicheeeka kwa dharau zote, wasojue ndani yake kilibeba nini!
Siku za hivi karibuni, taifa hili limekuwa likifanya mambo yanayotatiza akili za watu duniani
Kitendo cha ndege ya Rais wa Iran kuzukwa na moshi mkuu wa ukungu na hatimaye kuanguka, bado dunia inawaza ni walipigaje hapo vijana wa Netanyahu?
Kitendo cha yule gaidi aliyehudhuria uapisho wa Rais mpya huko Iran, kwamba vijana tundu hawa wa Kiisrael walitegaje kile kilipuzi ndani ya hoteli kubwa amnayo pia hutumika kulala kwa viongozi mbalimbali wa Irani na wa mataifa mengine?
Na kitendo cha Jana kufanya vilipuzi katika simu za maadui wao, bado Dunia inakosa majibu, kwamba anapigapigaje huyu Myahudi
Hii ni sawa na kusema, Dunia imetegwa ikategeka
Tulioko Vikindu, Mabwapande, Lupaso huko, kijichi na mbagala, inatubidi tuwe watazamaji tu