Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Majinja ile route yake ilikufa nadhani ya Mtwara - Dar- Mbeya
Majinja kashindwa nani ataweza??
Namuamini sana, route za kiumeni,

Siyo kina Ally Star, wamepaka mabasi rangi za kuvutia nyuki, ukipanda huduma mbovu, daladala si daladala, siti mpaka mawaya yametokeza nje, jua likiwaka tu, linachemka gari kila kilometa100, mnatafuta visima vya maji! Mnalipooza...shubamitiii

Everyday is Saturday................................😎
 
Wa kumbinga[emoji41]
 
Huyu mwamba wa kusini kaingiza G7 10.
Angalau G7 zina finish kuliko Gemilang sijui wamezipendea nn Gemilang naona zimekaa kisufuria zaidi.Hata master fabrication singa wa Nairobi anatoa chuma kali check vyuma vya Tamheed Dar Mombasa.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…