Songea mwanza via dar haiwezi kuwa biashara viable , tayari ana basi za songea dar , na kuna ushindani mkubwa sana dar mwanzaZile scania G7 saba alizoingiza zitamlipa kwa ruti ndefu ya Mwanza songea, mwanza mbeya.pia apige ya Mwanza Songea kupitia Dar
Penye watu apakosi hotelAiseee hivi kama mtu ni mgeni huko Mbamba bay inakuwaje akiwasili? Hotel zipo karibu au ndo kukesha stendi?
Hii Sijaona Lakini Michango Kama Hii Wenye Bus WatawekaHivi kuna basi lifanyalo route ya Mtwara <> Kagera (Bukoba)?
Majinja ni mzoefu wa route ndefu sasa hivi anayo ya katavi-dar na ameimuduMajinja kashindwa nani ataweza??
Namuamini sana, route za kiumeni,
Siyo kina Ally Star, wamepaka mabasi rangi za kuvutia nyuki, ukipanda huduma mbovu, daladala si daladala, siti mpaka mawaya yametokeza nje, jua likiwaka tu, linachemka gari kila kilometa100, mnatafuta visima vya maji! Mnalipooza...shubamitiii
Everyday is Saturday................................😎
Huko washirikina wengi. Tukileta mabasi yetu siku mbili yamelala.Hakuna route yenye mabasi mabaya nchi hii Kama route ya Tanga Dodoma. Wafanyabiashara hawaoni hiyo fursa. Watu wanalazimika kupitia Arusha Kisha Dom kwa siku mbili kukwepa tu mabasi mabovu ya njia hiyo.
Yeah nimeona ana Dar-Katavi, Dar-Bukoba, Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga na sijjui route gani ile ya mbali. Halafu basi body imeandikwa Scania huku ni Leyland yaani huwa nacheka.Alibadilisha route na katavi-Dar sasa hivi
Kigoma wanajifanya wajuaji. CCM wanawanyooshaNchi imefunguka sana kwa kiasi kikubwa..tumebakiza Kigoma tu..
Kupitia Chunya, Itigi, Manyoni Ni Nzuri Unapunguza Mwendo SanaHizi za songi to zoo zinapita Dodoma mtera na ya Mbeya Zoo zinapita itigi Chunya?
Hii Sijaona Lakini Michango Kama Hii Wenye Bus Wataweka
Bus Ikitoka Mtwara ~Kagera (Bukoba)
Bila Shaka Yoyote Ndiyo Itakuwa Ndefu Kuliko
Dar Es Salaam ~Kigoma
Dar Es Salaam ~Kagera
Dar Es Salaam ~ Mara (Musoma)
Bus Itoke Mtwara ~Kyerwa Ndiyo Itakuwa Safi
marekani kuna basi zinasafiri mpaka wiki mbili mzee,,,sometime ukipanda basi ni utalii wa ndaniSi tuliambiwa ndege zimenunuliwa, tusafiri kwa ndege tufike mapema.....imekuwaje tena safari ya masaa 24.
Mbeya - Mwanza na Songea - Mwanza hazipishani ndugu, mara nyingi nikitoka Mbeya - Mwanza kuingia Singida saa 4usiku ni kawaida, hivyo kuingia Mwanza Saa10 usiku au 11 alfajiri ni kawaida.Mwanza watafika kesho asubuhi kama singida wamepita 2200Hrs Shinyanga lazma wapigwe pin watalala hapo
Mkuu Nakubaliana NaweHiyo mikoa nimetaja mkuu ndio mikoa iliyo umbali mrefu baina yao kuliko mikoa yoyote...
Sasa nimekuwa nikitamani kuona chuma inafanya safari hiyo...
Maana kama kuna basi inatoka Dar kwenda Lusaka au Harare, kwa nini tusiwe na basi zinacross country na ukichukulia kwa sasa sehemu kubwa ya nchi ina lami...
Kitaalamu Scania ndio inafaa kwa hiyo ruti ndefu,kwa alicho kianzisha ni sawa kabisa kwakweli tunapashwa kujitosheleza kwa ruti za ndani ya Nchi kwamaana sehemu kubwa ya Nchi kwa sasa zinafikika kwa urahisi hatuna haja tena yakujiwekea mipaka ni swala la hawa wahusika wa usafirishaji kuboresha huduma tu mambo ya songe vyema.Nia,malengo na uthubutu, vimemfikisha hapo, embu fikiria unapata scania za bei mbaya halafu unapiga route ndefu kama mwanza songea au Arusha songea
Majinjah Hajawahi kuwa na hii route, ila yupo super feo MTWARA-MBEYA kupitia songea kila siku.Majinja ile route yake ilikufa nadhani ya Mtwara - Dar- Mbeya
Umeweka picha ya vyuma vya Super Feo. Ziko wapi picha za Taheemed-Dar?Huyu mwamba wa kusini kaingiza G7 10.
Angalau G7 zina finish kuliko Gemilang sijui wamezipendea nn Gemilang naona zimekaa kisufuria zaidi.Hata master fabrication singa wa Nairobi anatoa chuma kali check vyuma vya Tamheed Dar Mombasa.
View attachment 2001799
View attachment 2001800
Kigoma kuna wenyewe wewe mgeni usije jidanganye kupeleka gari bila kujipanga.Mkuu Nakubaliana Nawe
Kuna Bus Inatoka Zambia ~Dar Es Salaam
Congo (Lubumbashi)~Dar Es Salaam
Rwanda ~Dar Es Salaam
Uganda ~Dar Es Salaam
Sasa Muda Umefika Tuone
Mtwara ~Kagera
Mtwara ~Kigoma **
Mtwara ~Mara
Mtwara ~Arusha
Japo Hapo Nilipoweka ** Kuna Siku Nilipanda Bus Kwenda Singida Dereva Akawa Analalama Ukupeleka Kampuni Mpya Kuna Mauzauza Yaani Unajikuta Week Gari Inapata Changamoto