Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu kuna vyuma huwa vinaungwa bila welding ? VCosta aka toyota nao wananunua injini ?Hakuna kampuni ya mabus inayounda Injini.
Hata youtong utumia za cummin au wechai.
Wapo wajuzi wa kuunda body nikipata pesa taanza unda body classic toka Malasyia wanasuka body nzuri Sana kwa vifaa rahisi tu.Welding machine, mashine ya kuchomelea,grenda,nk
Majinja anatumia Scania tu...hiyo Leyland kanunua body kaweka chassis ya Scania..Yeah nimeona ana Dar-Katavi, Dar-Bukoba, Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga na sijjui route gani ile ya mbali. Halafu basi body imeandikwa Scania huku ni Leyland yaani huwa nacheka.
Ila wanakimbia sana sana, wana speed mno
Marcopolo kama mabodi ya kizamani hayana mvuto.Macopolo wapo vizuri sana ndie anaweza chuana na mchina kwenye luxuriy na comfortability
Sasa umeisha ona body ya waganda ya kiira motor? Sahv Africa mashariki tunajitaidi kwenye kuunda bodyView attachment 2001927View attachment 2001928View attachment 2001929
Very classics. Hata ulaya unaweza kuliuza hilo basi.Sasa umeisha ona body ya waganda ya kiira motor? Sahv Africa mashariki tunajitaidi kwenye kuunda bodyView attachment 2001927View attachment 2001928View attachment 2001929
Hahaha sasa kwanini habadili kabisa? You're rightMajinja anatumia Scania tu...hiyo Leyland kanunua body kaweka chassis ya Scania..
Ana mengine aliyanunua kwa TSK yalikuwa ma Volvo...akayabadili na kuweka injini mbele za scania...ila yamebaki na nembo ya volvo...ana moja lina nembo ya Mitsubishi ila ni Scania.
Hawezi anzisha hii. His principles ni kuwa kila root lazima ianzie nyumbani yaani. Ianzie Songea kwenda kwingineko ila hawezi anzisha za huko mbali. Anataka awe na full control of his own.Imekaa poa sana. Naipenda sana kampuni ya Supa fio (Super Feo) wana mabasi maziri sana.
Kwa ruti hii watakula sana vichwa ila wasisaha kuanzisha Kahama-Moshi, Kahama-Dodoma, Mwanza-Dodoma watapiga sana pesa
Wale wamejichokea tu, body zake zinatengenezewa pale Mabanda ya PapaSijawafitinia kiongozi, nimewasahauri waone fursa. Labda Kama wameweka hivi karibuni maana nimetoka Dom wiki mbili zilizopita na Kampuni fulani sitaitaja wasijesema nawaharibia biashara. Mabasi mabovu sana aisee
Oogh sawaMajinjah Hajawahi kuwa na hii route, ila yupo super feo MTWARA-MBEYA kupitia songea kila siku.
BIla shaka ni zile scania mpya ndo zinampa jeuri, .... Sasa mtu anasema zongtong gari Kali achen mzaa , scania ineshindkana, ... Route zote nzito inapewa scania... Dar Lubumbashi, dar Nairobi, hata mahari ya bushi huko makete na lupembe ni scania tupuHakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.
Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.
Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Ndugu,juzi nimepanda mbambabay songea to darHawezi anzisha hii. His principles ni kuwa kila root lazima ianzie nyumbani yaani. Ianzie Songea kwenda kwingineko ila hawezi anzisha za huko mbali. Anataka awe na full control of his own.
Routes Zote Sasa ni
Songea Lindi Dar es Salaam
Songea Iringa Dar es Salaam
Songea Mbeya
Songea Njombe
Mbinga Songea Njombe
Mbinga Songea Mbeya
Songea Iringa
Mbinga Songea Iringa
Namtumbo Songea Iringa
Namtumbo Songea ILULA
Masasi Songea Mbeya
Mtwara Songea Mbeya
Songea Iringa Dodoma
Songea Dodoma Mwanza
Songea Dodoma Arusha.
So ukiangalia hapa principles home ni Songea.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
serikali zetu zingekuwa zinawapa support ya kutosha tungekuwa mbali. Hao jamaa wa uganda sahv wanaproject za kutengeneza had magari magodo na bus za umeme hapa bongo sijui tunaanza lin na sisiVery classics. Hata ulaya unaweza kuliuza hilo basi.
Nchi zetu zikiwekekeza pesa tunaweza msahau mchina.
Walipata wapi teknolojia ya kuunda mabodi mazuri.
Ina maana wakiwekeza kwenye injini fubrication wanaweza shindana na youtong bus
Yaa body Marco polo ,engine scania...mambo ya sauli hayo utaioendMacopolo wapo vizuri sana ndie anaweza chuana na mchina kwenye luxuriy na comfortability
TOyota hv vitengo ni tofaut kabsa mzee.. na pia wanamabus mengi tu mafuso na mengneyo yapo huko Japan huku hahajafikaMkuu kuna vyuma huwa vinaungwa bila welding ? VCosta aka toyota nao wananunua injini ?
Youtong ni kama wanaunda na injini, nimewahi soma historia yao. Zamani 60" s walianza kuunda mabodi na ilikuwa ni kampuni ya serikali ilipokuwa baadae wakauza hisa.
Kigoma Wanasema Ni Adventure, SaratogaKigoma kuna wenyewe wewe mgeni usije jidanganye kupeleka gari bila kujipanga.
Hapo ongezea na route ya kampala- mbeya-tunduma hii nayo sizan kama ipo
Hakuna kitu nisichokipenda kama matuta (road humps) ni kweli yanachelewesha na kurudisha nyuma maendeleo.Hiyo route inahitaji a special luxury bus, na kwa advancement hii, tuishauri serikali iondoe matuta yote barabara kuu kama ilivyo kwa kipande cha barabara cha Dodoma Kondoa
Jamaa wana roho mbayaKigoma Wanasema Ni Adventure, Saratoga
Wengine Bus Mpya Ikifika Shukuru Mungu
Kurudi Sasa Bus Linaanza Maradhi Yote