Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu kuna vyuma huwa vinaungwa bila welding ? VCosta aka toyota nao wananunua injini ?Hakuna kampuni ya mabus inayounda Injini.
Hata youtong utumia za cummin au wechai.
Wapo wajuzi wa kuunda body nikipata pesa taanza unda body classic toka Malasyia wanasuka body nzuri Sana kwa vifaa rahisi tu.Welding machine, mashine ya kuchomelea,grenda,nk
Youtong ni kama wanaunda na injini, nimewahi soma historia yao. Zamani 60" s walianza kuunda mabodi na ilikuwa ni kampuni ya serikali ilipokuwa baadae wakauza hisa.