Mkuu, Mimi nimezaliwa madhabahuni hakuna yeyote anaweza kuniwin kirahisi(mitume/manabii pendwa). Hawa wanakubalika na makundi mawili tu katika jamii;Hata ww utamuelewa tu,niswala la muda tu.
Songea watu hawawezi kuwa wasafi hivyo!
Huo ni utumwa wa fikra, mchumia tumbo kawapata watu wake anawakamua haswa.huo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
Acha kumfananisha Yesu Kristo (Mungu aliyehai) na viumbe vyake.huo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
Nyumbu hawaishi porini acha waliwezamani yesu aliwalisha watu 5000+ wenye njaa,
now days watu 5000+ wenye njaa wanamlisha mtu mmoja aliyeshiba
Kahesabu naye maana unakula genji yako.Unataka akualike mkahesabu wote?
Vp mafuta, maji na mchanga anawauzia?Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Wewe njoo upate uponyajiVp mafuta, maji na mchanga anawauzia?
Endeleeni kumchangia mhuni huyoWewe njoo upate uponyaji
Ukweli mchungu
Endeleeni kumchangia mhuni huyo
Huyo ni mchawi tu hana utume wala unabii ni mpigaji tu.Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Yaani hadi unashangaa lakini yote ni kwa sababu ya umaskini na mtu ukiwa masikini ni rahisi sana kutapeliwa.Nchi hii ina wajing na wapmbv wengi sana
Ova
Muwage makini sasa yasitokee yale ya Moshi .. na awe makini maana ustadhaati ata mburuza lupango akipotea kama alivyo potea pale moshiSiku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Unamuelewa wewe na wenzako aina yakoSiku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.