Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Hata ww utamuelewa tu,niswala la muda tu.
Mkuu, Mimi nimezaliwa madhabahuni hakuna yeyote anaweza kuniwin kirahisi(mitume/manabii pendwa). Hawa wanakubalika na makundi mawili tu katika jamii;
1 Wasio na uelewa na mambo ya ki,Mungu.
2 watu wenye shida(kiuchumi, kijamii,) kwa kifupi wapenda miujiza.
 
Sijawahi kuwaamini hawa wanaohubiri pokea kufunuliwa kibiashara,mali nk.Wafanyao miujiza ya uwongo na kuwateka wajinga na wenye imani haba.Nyakati za mwisho.
 
310316621_10166242170020198_3949974262944471244_n.jpg
 
huo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
Acha kumfananisha Yesu Kristo (Mungu aliyehai) na viumbe vyake.

Mwamposa yupo juu sana, usimfananishe na hao akina muhammad.
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Vp mafuta, maji na mchanga anawauzia?
 
Nchi hii ina wajing na wapmbv wengi sana

Ova
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Huyo ni mchawi tu hana utume wala unabii ni mpigaji tu.
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Muwage makini sasa yasitokee yale ya Moshi .. na awe makini maana ustadhaati ata mburuza lupango akipotea kama alivyo potea pale moshi
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Unamuelewa wewe na wenzako aina yako
Hakiki hii nchi inasafari ndefu
 
Tuombeane uzima mwisho wake tutauona na hakika ukweli utaonekana wazi
 
Back
Top Bottom