Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Mkuu, Mimi nimezaliwa madhabahuni hakuna yeyote anaweza kuniwin kirahisi(mitume/manabii pendwa). Hawa wanakubalika na makundi mawili tu katika jamii;Hata ww utamuelewa tu,niswala la muda tu.
1 Wasio na uelewa na mambo ya ki,Mungu.
2 watu wenye shida(kiuchumi, kijamii,) kwa kifupi wapenda miujiza.