Captain 22175
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 249
- 407
ni sahihi,huwa hairuhusiwi mpaka kuwe na vibali maalumuAskari wapatao saba wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa kazi kwa kosa la kuvuka mpaka na kuingia nchini Malawi wakiwa na mavazi ya kijeshi na silaha za moto kinyume na taratibu za kijeshi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Janeth Magomi amethibitisha.
View attachment 1947487
hapo tatizo sio mafunzo,ni tamaa tu mkuu maana mafunzo yapo wazi kabisa miaka yote kwamba kuingia na sare ya kijeshi nchi ya watu ni marufuku,wangeshirikiana na wenzao wa kule isingekuwa nomaAskari wetu wanapaswa kuboreshewa mafunzo. Wana matatizo mengi
Hawakufundishwa kanuni na matumizi ya mavazi na silaha?ni sahihi,huwa hairuhusiwi mpaka kuwe na vibali maalumu
Labda walikua doriahapo tatizo sio mafunzo,ni tamaa tu mkuu maana mafunzo yapo wazi kabisa miaka yote kwamba kuingia na sare ya kijeshi nchi ya watu ni marufuku,wangeshirikiana na wenzao wa kule isingekuwa noma
ila hii issue kuna mengi zaidi ya hapo,hizo gari za jeshi huwa zinapakiwa vutuoni na kutoka ni mpaka ruhusa hivo basi ma boss wao lazima waliwatuma tu
Leo umetoa maoni?πππππLabda walikua doria
πππImeisha hio.
PGO number 290