Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

Wanapenda rushwa sana, sio wanauchungu na nchi bali njaa zimewajaa
 
Polisi wetu nilidhani hawajui vitu vikubwa kama vifungu vya PGO, kumbe hata vidogo kama hicho cha kufanya kazi nje ya mipaka ya nchi yao hawavijui?

Hawa vilaza sasa wataligharimu taifa.
Du....kweli Polisi wana matatizo.
Security personnel kuingia hata inchi moja nchi ya jirani ni sababu tosha kuanzisha vita mpakani.

CCP Moshi wanafundishwa nini?
Kuna mtu kawalinganisha Polisi sasa hivi na mgambo, hakukosea.
 
Tatizo wanaajiri vilaza form four failure.

Kama walishindwa kupata hata D ya civics nina hakika hawawezi kuielewa PGO hata wakiisoma.
 
Makosa waliyoyafanya hao Polisi huenda yameandikwa katika PGO zao.....ila kwakuwa ni vilaza na hawajui PGO na wanafanya kazi kwa mazoea wamevuna walichopanda....

Na huenda huyo mkuu aliyetoa adhabu na yeye haijui PGO vile vile
 
CCM ndio imewafanya wawe watumwa maskini jamani na wanawatumia Kama makondom. Wakisikia kongamano la Chadema kudai KATIBA mpya mnakwenda kuwapiga ili Hali KATIBA mpya ingewasaidia kuboresha maslahi na utu wenu. Ona Sasa mmefukuzwa kazi na Mkoloni wenu mtajutaa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app

hao wanakwenda kuwa wafuasi wa chadema.
 
Du....kweli Polisi wana matatizo.
Security personnel kuingia hata inchi moja nchi ya jirani ni sababu tosha kuanzisha vita mpakani.
CCP Moshi wanafundishwa nini?
Kuna mtu kawalinganisha Polisi sasa hivi na mgambo, hakukosea.
Polisi ni Civilians in uniform.... Inshort ni raia wakakamavu
 
Back
Top Bottom