Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

Adhabu za kutosha kule walipata kipondo, huku kibarua kimeota nyasi.
 
Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye Jeshi la Polisi Tanzania , Idadi ya Polisi waliofutwa kazi ni 7

Siku chache zilizopita tuliripoti tukio la Polisi wa Ileje kushambuliwa nchini Malawi na magari yao kuharibiwa baada raia wa Malawi kupinga askari wageni kuvamia nchi yao

Hii ni wiki ngumu sana kwa Polisi , huku haya yakitokea kule kwingine kuna PGO !
------nimecheka 😀 😀 😀 sana

-----eti wiki ngumu sana kwa mapolisi, "-----maana kule wakiingia nchi nyingine kizembe na kupigwa, wakija huku wanakutana na PGO..."

-----nadhani haya yote ni kwa sababu hawaijui Police General Order [PGO] ndiyo maana kijinga tu wanaingia nchi nyingine bila kujali PGO inawaelekeza nini...!!
 
Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye Jeshi la Polisi Tanzania , Idadi ya Polisi waliofutwa kazi ni 7

Siku chache zilizopita tuliripoti tukio la Polisi wa Ileje kushambuliwa nchini Malawi na magari yao kuharibiwa baada raia wa Malawi kupinga askari wageni kuvamia nchi yao

Hii ni wiki ngumu sana kwa Polisi , huku haya yakitokea kule kwingine kuna PGO !
Je ilikuwa ni mara yao ya kwanza kuvamia Malawi kwa ajili ya kusaka magendo? Je ni kweli wamefukuzwa kazi???
Kama ni kweli hiki kinachosemwa mbona hawajafunguliwa mashtaka ya kuhatarisha usalama wa nchi???
Ukimkuta kuku anaelea kwenye maji jua kuna aliyemwezesha...
Ni vema sasa idara hii nyeti ijitathmini mara kadhaa tulionya juu ya haya.
 
Mngekaa kimya soon wangepewa zawadi ya pesa na kupandishwa vyeo, kisa ujasiri wa kuvuka mpaka wa nchi wakimfukuzia raia.
 
Polisi wetu nilidhani hawajui vitu vikubwa kama vifungu vya PGO, kumbe hata vidogo kama hicho cha kufanya kazi nje ya mipaka ya nchi yao hawavijui?

Hawa vilaza sasa wataligharimu taifa.
Tena waliingia na gari la TanPol...!!

Tafsiri ya haraka haraka ni kuwa, walipewa order toka ktk high authority za Tanzania...

That was very dangerous....
 
Ebwana eeh kama akifanya ujanja asiporudisha sare anahama nazo mkoa mwingine anakua anatapeli watu.

Anajua muundo wa jeshi la polisi na taratibu zake so inakua rahisi tu kukamata vinabo na kuvipiga.
Wale waliokamatwa Mwanza kwenye zile dhahabu walihamishiwa wapi sijui!!!???
 
Back
Top Bottom