johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Basi la mkoa gani bwashee wanakalia hadi vindoo.Siku hizi unakuta magari ya mikoani yamejaza hadi abiria wengine wamekalia vile vindoo vya dustbin na wala hawaogopi trafiki. Sasa ikitokea ajali kama hii mtoa roho anaanza na wewe.
Bwashehe nilipanda basi maarufu kutoka Songea, kufika Njombe kuna abiria wawili walikalia vindoo, mwingine alikalia begi lake. Kufika Iringa wakapata siti wote, ila akaingia mwingine yeye aliamua kulala kabisa katikati pale.Basi la mkoa gani bwashee wanakalia hadi vindoo.
Nijuavyo hayo mambo ilikuwa zamani sana!
Kwani Warombo na Wakinga wana tofauti gani?Mchaga hatakiwi hizo nyanda za juu Kusini. Hiyo njia ya wazee wa ndagu
Ni uzembe wa dereva..Mabasi ya Kilimanjaro mabovu sana!
Hiyo njia walozi mnoo. Mangi kapigwa na kitu kizito tayari. Atulie Dar-ArushaBus la kampuni ya Kilimanjaro limepinduka asububuhi hii mkoani Songwe likitokea Tunduma kuelekea Jijini Dar es salaam ambapo taarifa za awali zinaeleza ajali hiyo imesababisha watu kadhaa kufariki na uwepo wa majeruhi, taarifa kamili zitakujia hivi punde
View attachment 2149697
View attachment 2149696
View attachment 2149698
Acha kutuchafua WakingaKwani Warombo na Wakinga wana tofauti gani?
Wote wanafuga misukule!
Nashangaaga ivi wale askari ni mafundi magariSanaa tu ile bwashee.
Basi inaweza kukaguliwa Mbezi ikaenda kufia Kibaha!
Yapo Sana ndugu tena Kwa magari ambayo ni classic Kabsa.. hadi unashangaaBasi la mkoa gani bwashee wanakalia hadi vindoo.
Nijuavyo hayo mambo ilikuwa zamani sana!
Wale ni wataalamu kabisa wa magari bwashee.Nashangaaga ivi wale askari ni mafundi magari
Yaani wanakuaga na ujuzi wa magari ππππ
Mkoa gani?Yapo Sana ndugu tena Kwa magari ambayo ni classic Kabsa.. hadi unashangaa
Ooooh bas sawaWale ni wataalamu kabisa wa magari bwashee.
Sema tu hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Single diff haina tatizo mzee watu wanaweka double diff kwaajili ya kukwepa kuzidi uzito kwenye mizani tu mzee vinginevyo wangekua wanatembelea single diff wengi tukilimanjaro unapeleka single diff mbali kote huko! uhuni huo
Hujajua chanzo cha ajali tayari ushatoa tathmini wabongo bwanakilimanjaro unapeleka single diff mbali kote huko! uhuni huo
Mkuu,Basi la mkoa gani bwashee wanakalia hadi vindoo.
Nijuavyo hayo mambo ilikuwa zamani sana!
Bus ya abiria, differential mbili za kazi gani hasa?kilimanjaro unapeleka single diff mbali kote huko! uhuni huo