Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwahiyo mtoa roho ukikalia kile kindoo ndo anakuona vizuri akiwa kwenye daily patrol?
Ahahahaha
Wapumzike salama
Ahahahaha
Wapumzike salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,
Alhamis wiki iliyopita nilipanda kimotco mida ya Saa nane kasoro mchana, (nadhani ile inayotoka arusha), kutoka Dodoma kuelekea Iringa, abiria wenzangu walikalia mabegi yao kwenye kile kikorido cha kupita, wengine walikalia zile "arm rest", na wengine kusimama kabisa, pia yule kondakta alikuwa anaenda siti za nyuma anawaomba wakae watu watatu katika siti zilizotengenezwa kwa ajili ya kukaa watu wawili tu(muundo wa siti za basi hilo ni 2 by 2(2*2)). Na Bado njiani waliendelea kuchukua raia/abiria.Wakati wa kukata tiketi ukiuliza siti zipo wanakwambia zipo za kutosha.
Katika "Traffic Stops" zote kutoka dodoma mpaka ninafika iringa hakuna polisi alieingia ndani ya basi. Mwana usalama pekee alieingia ndani ni afisa wa uhamiaji pale mtera basi.
Haya mambo yapo na yanaendelea.
MI NILIMAANISHA TERIAZIBus ya abiria, differential mbili za kazi gani hasa?
Tunduma-dar ni kama 935km! Hebu nitajie bus yenye diff zaidi ya moja inayoanzia dar kwenda bukoba 1400+ km!
Huna ushahidi wowote acha kuharibu biashara za watu.Mabasi ya Kilimanjaro mabovu sana!
Una ushahidi? Kwahiyo unapingana na SUMATRA?Mabasi ya Kilimanjaro mabovu sana!
Sasa kutokuwepo kwa hiyo 'teriazi' kuna shida gani mpaka unawaita wahuni?MI NILIMAANISHA TERIAZI
Nina uzoefu wa njia za Dar mwanza, Dar mbeya na maaskari wanaona lakn hawachukua hatua.Mkoa gani?
Au Kigoma na Katavi!
Hayo mabasi mabovu mabovu sana.Una ushahidi? Kwahiyo unapingana na SUMATRA?
Na nyie abiria mnachukua hatua gani?Nina uzoefu wa njia za Dar mwanza, Dar mbeya na maaskari wanaona lakn hawachukua hatua.
Etiee nyie abiaria mnachukua hatua gan.. ??unazungumzia Tanzania ipi Hii ya vi wonder au?? Askar asimamishe gari aingie ndan na asichukue hatua au asimamishe na asiingie ndaniii??Na nyie abiria mnachukua hatua gani?
Hakuna kitu kina kinaitwa Sumatra kwa sasaUna ushahidi? Kwahiyo unapingana na SUMATRA?
Mshamba huyo!Hakuna kitu kina kinaitwa Sumatra kwa sasa
Sumatra kwenye usafiri wa nchi kavu????Una ushahidi? Kwahiyo unapingana na SUMATRA?
Newforce na Abood au siyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchaga hatakiwi hizo nyanda za juu Kusini. Hiyo njia ya wazee wa ndagu
Sio mshambaMshamba huyo!
Hata kwenye usafiri wa majini hakuna sumatra.Sumatra kwenye usafiri wa nchi kavu????
Punguza ushamba
Newforce mchina na ndagu zenu za kibongo , wapi na wapi ?Newforce na Abood au siyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app