Uchaguzi 2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

Nasubiria Lissu atoneshe kidonda cha mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.

Magufuli: mimi bado ni raisi na kuanzia leo wanafunzi wote hawatalipia mikopo yao.

kutekenywa ukatekenyeka
 
ulimpa wewe mimba?😀😀
 
Jamani hivi hizi ahadi na maamuzi ndani ya kipindi cha kampeni sio rushwa??NEC Njooni msikilize mzee baba mmemkataza Lissu lakini huyu bado hana namna anaona asipofanya hivyo maji yamezidi unga 😀😀
 
Anamuomba msamaha Lissu Kwa aliyomfanyia.
 

Wakazi wa Njombe kwa tamaduni yao, mtu wanae muheshimu akipiga goti anaihitaji msaada na akaomba, unatakiwa umpatie bila maswali yeyote, na watampa tuu. Usifikiri alifanya kama zuzu, wanamuona ndio mwenye uhutaji.

Sasa huyu JPM anajua usanii huu. MAELEKEZO YA MANGULA.
 
Ametii agizo la Mheshimiwa Tundu Lissu.
 
Huyu mzee akumbushwe Tanzania ya Viwanda bado. Ama yeye anajua alishamaliza kutuletea viwanda.
 
Mkuu uchaguzi wa mwaka huu acha tu, huku niliko wajawazito wameruhusiwa kujifungulia nyumbani alafu kichekesho wakunga wa jadi wamepigwa marufuku, sasa sijui nani atawazalisha huko majumbani?
 
Rushwa nyingine ya wazi inafanywa na magufuli kwenye kampeni wazi wazi kabisa NEC mnasemaje?
 
Alafu kwa nini iwe wakati wa Kampeni.?

Hilo suala hakuliona kabla,hawa wanacheza na akili zetu ni kuwaadhibu tu okt 28.

Mchakamchaka wa Lissu wanaukubali ,na bado kuna kero kibao za kufuta.
 
Kaongea haya akiwa kama MGOMBEA ama RAIS there should be a line
 
Nimemsikia Magu akihoji wananchi wangapi watampa kura Silinde wananchi wamegoma kuitika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…