Uchaguzi 2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

RAIS NA AMIRI JESHI MKUU KUPIGA MAGOTI NI UPUNGUANI .....ANATAKIWA KUMPIGIA MAGOTI MUNGU TU
 
Thamani ya x ni kumsugua kubwa lako kama alivyoomba
 
Yeye ni Raisi bado anapokea kero toka kwa wanachi akiwemo Lisu na kuzifanyia kazi

Kuna kero ingine? mwambieni Lisu aendelee kuzitoa ili Raisi aliyeko madarakani azifanyie kazi

Aisee 😀
 
RAIS NA AMIRI JESHI MKUU KUPIGA MAGOTI NI UPUNGUANI .....ANATAKIWA KUMPIGIA MAGOTI MUNGU TU
jee unafahamu ziara anazofanya ni za kiraia kama Mwenyekiti wa CCM, ila yeye mwenyewe anaweza kuamua ni wakati gani anakua alama ya SEVOREIGNTY ya Watanzania kipindi hichi cha kampeni.
 
jee unafahamu ziara anazofanya ni za kiraia kama Mwenyekiti wa CCM, ila yeye mwenyewe anaweza kuamua ni wakati gani anakua alama ya SEVOREIGNTY ya Watanzania kipindi hichi cha kampeni.
Kwa hiyo kwa akili matope anapokuwa hapo siyo amiri jeshi mkuu? Utopolo wa Lumumba huu!
 
Tundu lissu alipolisema hili akiwa mpanda, vijana wa UVCCM na mataga walimtukana matusi yote kuwa ni uongo hakuna wajawazito wanaolipishwa tozo. Leo kalisema mwenyekiti wao sasa utasikia watakavyotoa pongezi kwa kauli kuwa mwenyekiti anajali wanyonge
 
Hebu tuwe serious kidogo. Vitambulisho hivi ambavyo vinauzwa kama leso ndiyo ukachukulie milopo bank?
Anyways naona kama kawa anacheza beats za Lissu.
milopo ndio kitu gani wewe mlowezi🙂

Shabiki mandazi wewe eti
 
jee unafahamu ziara anazofanya ni za kiraia kama Mwenyekiti wa CCM, ila yeye mwenyewe anaweza kuamua ni wakati gani anakua alama ya SEVOREIGNTY ya Watanzania kipindi hichi cha kampeni.

HIZI SIO ZIARA KAKA NI KAMPENI ...NA SHERIA NA TARATIBU ZAKE ZIMEAINISHWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI .........WENGINE TUMESHUHUDIA TOKA UCHAGUZI WA KWANZA WA VYAMA VINGI HADI LEO ....NA TUNAONA TOFAUTI YA KUKANYAGA SHERIA NA KUFUATA SHERIA
ALIYEKUWA WAZIRI MKUU JOSEPH SINDE WARIOBA ALIWAHI KUVULIWA UBUNGE KWAKUA TU ALIKUWA ANATOA AHADI .....NA KUTUMIA MAAGARI YA SERIKALI WAKATI WA KAMPENI
 
Unaleta matatizo ukiwa madarakani,alafu kipindi cha kampeni ndio una kuwa mtatuzi!!!!siasa bana[emoji848][emoji848][emoji848]
 
hebu mwambie mama muuza akupe unachokunywa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…