Anonymeous
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 275
- 484
Dada mshukuru Lissu aliye address ilo tatizo. Kama si yeye kulipigia kelele mzee baba angeagiza lini habari hiyo. Hiyo ndo faida moja wapo ya VYAMA VINGI. Marekani imeendelea kwa sabab ya mfumo huo. Umejionea debate ya juzi mzee Trump alivyokuwa anatolewa makamasi na Babu Biden. Tunachokitana ni maisha bora dada. Leo mitandao ya cm inavyoshindana inakuwa afueni kwa sisi watumiaji, maisha yangekuwaje kama Voda angekuwa peke yake. CCM imetikiswa ndo inajisalimisha kwa watu kwa nkia hizo.Hapo Magufuli amefanya jambo la maana sana
Hapo Magufuli amefanya jambo la maana sana
Sana kwa kweli, sasa tusubiri kuona vifo vya akina mama na watoto vikiongezeka, kwa kuwa wanajiamulia, waende kliniki au la, hakuna ulazima wala umuhimu.Hapo Magufuli amefanya jambo la maana sana
Not Into That Extentjee unafahamu ziara anazofanya ni za kiraia kama Mwenyekiti wa CCM, ila yeye mwenyewe anaweza kuamua ni wakati gani anakua alama ya SEVOREIGNTY ya Watanzania kipindi hichi cha kampeni.
Atasema anawashangaa waliopanga asilimia 15Nasubiria Lissu atoneshe kidonda cha mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.
Magufuli: mimi bado ni raisi na kuanzia leo wanafunzi wote hawatalipia mikopo yao.
kutekenywa ukatekenyeka
jee unafahamu ziara anazofanya ni za kiraia kama Mwenyekiti wa CCM, ila yeye mwenyewe anaweza kuamua ni wakati gani anakua alama ya SEVOREIGNTY ya Watanzania kipindi hichi cha kampeni.