Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

Amefanikiwa kukaaa kimya bila kuwa na matamshi ya kukinzana na mfumo, si ajabu akawa naibu waziri wa kilimoo.... kazi na iendeleee
 
Ramli chonganishi hizo
 
Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni...
Itasaidia wagonjwa au maiti kuacha kushikiliwa kwenye Mahospitali mbalimbali ya Serikali kwa kukosa Pesa ya kulipia gharama za matibabu??
 
Nyie maccm Kwa mnavyowatelekeza makada wenu? Mtatujali sie wengine kweli Kwa staili hii? 😁😁
 
Umegonga pale pale, kwamba....
ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu
hivi majuzi...niliuona uzi unaodai "wenye nchi" hawajapenda kurudishwa kwa Makonda ulingoni.😳😲

Eti, SSH kajiharibia mambo kumrudisha mtu wanaye mtuhumu(bila ya ushahidi) kwa kuwa ni mtiifu!(Loyal).

Mapuuzi haya majamaa na ni mahovyo kabisa.

Na, hao hao, ndio waliokuwa wanatoa sifa kuwa anatumia akili nyingi, au kama nilivyosoma huko juu,
sayansi ya siasa
...sasa shida ipo wapi? wameanza kumgeuka? Wanamtukana SSH ati hajui anachokifanya? Mfyuuuuuuuu

Wacha Ally Hapi arudi mfumoni, na nidhamu nayo irudi.
 
Asiyegusika abakie hapo hapo,wasimwamishe

Huyo mla mtama hana nyota yoyote ile kisiasa

Isingekuwa jina la babake...
 
Hakuna shida na sijaitaja. Siamini Mwenyekiti wetu SSH ameshtuliwa na haya yanayotokea.Aliyajua alijipanga na anajua anachokifanya. Mimi na Suzy tunatofautiana tu kwenye point moja. Wanaopishana kwenye hizo nafasi wote ni wana CCM na haijalishi watakuwa na nafasi gani wana mchango kwenye ushindi wa CCM 2025 and beyond maana mgombea Urais ni mmoja tu.
 
awe ndani ya mfumo au nje ya mfumo haitusaidii chochote na haitupunguzii chochote. amepambana sana kujifanya mkulima, mara zingine anaimba kuran ili wamuone ni muislam safi, ila doa lake la kiburi na dharau halitakuja kwisha maisha yake yote hadi ampokee Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake.

hata sabaya muda si mrefu atawashangaza. ndio siasa za nchi hii zilivyo, muovu kuongoza watu kama alivyo bashite.
 
Both teams to score. YES
 
Maccm yote yana njaa hata yake mazee ya Misaga na yale maiba ndovu yote mezi 2
 
Lengai Ole Sabaya naye atarudi muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…